No comment

No comment

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
417355_372618016081687_778096361_n.jpg
 
inauma sana halafu unakuta kuna mtu mmoja anatumia hela zake ambazo kawaibia wananchi ndiye anasababisha haya ili apate madaraka. Ee Mungu uwape baraka ili na wao wajione wanahaki ya kuishi kwa amani na kulelewa kama ilivyo mipango yako na kusudu la kumuumba mwanadamu na kumtakia Amani, Amina.
 
ebu nipite kimyakimya nisije nikalia kwa huzuni
 
Hakuna maisha bora tena.Hapo walipo njaa zinawauma na Bado wazazi wao wanaishabikia CCM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom