jax fikrini
Member
- Nov 8, 2012
- 46
- 6
Jaman nisaidieni hapa, nataka niweke os nyngine kwenye laptop rakini haina mlango wa cd na nikiiwasha kwenye boot mode hakuna boot from usb or flash. Je tawezaje kuweka window nyngne?
Jaman nisaidieni hapa, nataka niweke os nyngine kwenye laptop rakini haina mlango wa cd na nikiiwasha kwenye boot mode hakuna boot from usb or flash. Je tawezaje kuweka window nyngne?
Yah inawezekana Window inside window but not safe.mbona mi naeka window kama nainstall software? situmii cd wala flash
Yah inawezekana Window inside window but not safe.
Yah sio safe kwa sababu unachofanya wewe ni ku-upgrade window na sio clean installaton, huwezi fanya HDD formatting wala HDD partition.na kama computer yako ina virus wataendelea kuwepo.how sio safe? sababu kama sjakosea uki upgrade window kihalali unaidownload store na kuinstall kawaida tu.