Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,827
- 15,015
Duuh..Miaka mitano bila kuoga..Hata kama hautumii unga lazima uwe tejaPosta mpya kulikuwa na teja mmoja anaita Ubungo Ubungo Ubungoooo!
Alikuwa kama na miaka 5 hajaoga wala kufua nguo, sina uhakika kama bado yupo pale Posta.