No caption

No caption

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,255
Nini kitafata hapa
1455889024979.jpg
 
awali niliwahi kusikia vinyozi ndio waaminifu pekee
 
Ha ha ha, kuna teja alimkaba mtu ili amwibie, bahati tu teja akasinzia kabla ya kuchukua hela.

Ilibidi aliyekabwa ajitoe taratibu na kumwacha teja amesinzia pale pale.
 
Aiseee utulipe maana umetudanganya
ngoja nikwambie teja hakabi nguvu za kukaba hana mateja wanakuja tag na silaha za jadi tena wengi mmoja mmoja wanachomoa simu au pochi kwenye daladala
 
Hiyo story na mimi nilisimuliwa nikabisha sana, ila nilivyomwona huyu kinyozi imebidi niiamini story ya teja.
 
Ha ha ha, kuna teja alimkaba mtu ili amwibie, bahati tu teja akasinzia kabla ya kuchukua hela.

Ilibidi aliyekabwa ajitoe taratibu na kumwacha teja amesinzia pale pale.
Teh teh..Huyo atakuwa kitale..Mvuta bangi mwenzio
 
Posta mpya kulikuwa na teja mmoja anaita Ubungo Ubungo Ubungoooo!

Alikuwa kama na miaka 5 hajaoga wala kufua nguo, sina uhakika kama bado yupo pale Posta.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom