kweyamba_dave JF-Expert Member Joined Oct 2, 2012 Posts 961 Reaction score 484 Jan 26, 2014 #1 "Mungu ni mkubwa huwa namshukuru kwa kila jambo nataman ningekuwa na mikono pamoja na miguu ila sijafikia kudharau nilichopewa"
"Mungu ni mkubwa huwa namshukuru kwa kila jambo nataman ningekuwa na mikono pamoja na miguu ila sijafikia kudharau nilichopewa"
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Jan 26, 2014 #2 Allahu akbar
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 16,231 Reaction score 15,644 Jan 26, 2014 #3 Mungu mkubwa.
T THE WATCHER Senior Member Joined Jan 14, 2014 Posts 194 Reaction score 64 Jan 26, 2014 #4 Kweli Mungu ni mkubwa na ashukuriwe na kila mwenye pumzi,la kustaajabisha ni kuwa kuna watu wana miguu na bado wanamlaumu Mungu eti hawana viatu.😛ray:
Kweli Mungu ni mkubwa na ashukuriwe na kila mwenye pumzi,la kustaajabisha ni kuwa kuna watu wana miguu na bado wanamlaumu Mungu eti hawana viatu.😛ray:
kweyamba_dave JF-Expert Member Joined Oct 2, 2012 Posts 961 Reaction score 484 Jan 26, 2014 Thread starter #5 THE WATCHER said: Kweli Mungu ni mkubwa na ashukuriwe na kila mwenye pumzi,la kustaajabisha ni kuwa kuna watu wana miguu na bado wanamlaumu Mungu eti hawana viatu.😛ray: Click to expand... kweli kabisa kwa kipindi chote tunachonunua karibu kila kitu kasoro pumzi yake.hatuna ruhusa ya kumlaumu bali kumwomba atuzidishie neema
THE WATCHER said: Kweli Mungu ni mkubwa na ashukuriwe na kila mwenye pumzi,la kustaajabisha ni kuwa kuna watu wana miguu na bado wanamlaumu Mungu eti hawana viatu.😛ray: Click to expand... kweli kabisa kwa kipindi chote tunachonunua karibu kila kitu kasoro pumzi yake.hatuna ruhusa ya kumlaumu bali kumwomba atuzidishie neema
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,001 Reaction score 77,337 Jan 27, 2014 #6 Mungu ni Mwema sana kila iitwapo leo ndiyo maana tunasema muacheni Mungu aitwe Mungu.😛ray: