Wadau ninagombana na mama J hadi basi, mimi sioni shida ya kununua tetra boxed juice mfano Golden circle, Ceres, Delmontre etc nakunywa tu kwa vile naamini zile nembo za 'No added sugar'. On the other hand wife anakasirika sana kuleta hizo product kwenye lounge fridge yetu yani hadi anaamini sio salama.
Hivi ni kweli fresh juice tu ndio salama, hii ya no sugar added ni usanii?
Kweli kuhusu nini mkuu? Mi ndo naigugumia hapa ukizingatia matunda yenyewe bei kali ka nini, afu uvivu wa kuhangaika mara uoshe juicer, kuchuja aaaghrr
Kweli kuhusu nini mkuu? Mi ndo naigugumia hapa ukizingatia matunda yenyewe bei kali ka nini, afu uvivu wa kuhangaika mara uoshe juicer, kuchuja aaaghrr
matunda yako mabibo buguruni na masoko mengine yanaoza !!nenda kajisevie umpe mamito akutengenezee kitu fresh kabisa acha na lugha za kibiashara hizo hapo ni chemicals tupu