Nnaomba kufaham Mshahara wa Mwasibu mwenye degree hiko kwa CAG

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Jul 19, 2016
4,679
2,000
Kama kichwa kivyojieleza wadau nnaomba kwa mjuzi anisaidie kufaham kwa Mwasibu anaeanza kazi akiwa na degree tu pale kwa CAG analipwa ngapi. Je hawa watu wana mishahara special kama TRA na BOT ama wanaanza kama watumishi wa kawaida
 
Chris wood

JF-Expert Member
Dec 21, 2020
900
1,000
Kama kichwa kivyojieleza wadau nnaomba kwa mjuzi anisaidie kufaham kwa Mwasibu anaeanza kazi akiwa na degree tu pale kwa CAG analipwa ngapi. Je hawa watu wana mishahara special kama TRA na BOT ama wanaanza kama watumishi wa kawaida
TGSD ndugu ni sawa na mwalimu mwenye shahada
Screenshot_20210522-121231_Chrome.jpg

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Jenchede

Member
Jul 22, 2014
25
75
Akikatwa anabaki na 5.5 laki
Ni kweli njaaa kwani haiwezi kukutoa sehemu moja kwenda nyingine. Sema kama unaakili unaweza kukupa starter ya kutafuta kikubwa tofauti na umemaliza chuo wazazi wameuza kila kitu usome na wewe ndo tegemeo kubwa halafu na wewe ndo unaishi kwa hiyo laki 5.5

Ukipata hiyo kazi unaingia mkopo unaanza kufanya biashara.

Kuna kijana mmoja alipata ajira ya ualimu alifanya Kazi miaka 3. Tu baada ya kuthibitishwa kazini akaingia mkopo wa milioni 8 kama sikosei akatokomea mazima baada ya hapo wakamwamdikia utoro wakamfukuza Kazi.Akaenda kuwekeza kwenye mbao huko.Sasa hivi ni anahela hatari.

Sema tu changamoto ajira inalemaza akili wengi wanaona bora kidogo kuliko kutake risk
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,537

Kweli wengi tunaogopa risk
 
FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
5,180
2,000
CAG office kabla ya magu ilikuwa dili sana.. mashahara kidogo ila semina na rushwa za halmashauri kuwapooza auditors zilikuwa kibao.. ila magu kuja na control number CAG office ikaanza pata njaa.. watu kibao wameacha kazi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom