Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,475 Mar 30, 2012 #1 Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje? Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje? Mawazo gani yaliwapitia kichwani?? Just CURIOUS. . . .
Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje? Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje? Mawazo gani yaliwapitia kichwani?? Just CURIOUS. . . .
Rejao JF-Expert Member Joined May 4, 2010 Posts 9,219 Reaction score 4,087 Mar 30, 2012 #2 Jibu lililonijia kichwani mara ya kwanza.....kaitoe(joke)!!!
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,475 Mar 30, 2012 Thread starter #3 Rejao said: Jibu lililonijia kichwani mara ya kwanza.....kaitoe(joke)!!! Click to expand... Kua serious basi. . . . Alafu useme kabisa uliishia kukimbia, kutoa au kulea?
Rejao said: Jibu lililonijia kichwani mara ya kwanza.....kaitoe(joke)!!! Click to expand... Kua serious basi. . . . Alafu useme kabisa uliishia kukimbia, kutoa au kulea?
TaiJike JF-Expert Member Joined Dec 14, 2011 Posts 1,482 Reaction score 669 Mar 30, 2012 #4 lol...Lizy nidhani we ndo una mimba. Mi nilifurahi sana na ilipokelewa kwa shangwe kubwa.
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,510 Mar 30, 2012 #5 TaiJike said: lol...Lizy nidhani we ndo una mimba. Mi nilifurahi sana na ilipokelewa kwa shangwe kubwa. Click to expand... Ulikuwa na umri gani? Ulishapata ngapi?
TaiJike said: lol...Lizy nidhani we ndo una mimba. Mi nilifurahi sana na ilipokelewa kwa shangwe kubwa. Click to expand... Ulikuwa na umri gani? Ulishapata ngapi?
K Kifulambute JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 2,539 Reaction score 763 Mar 30, 2012 #6 nilimwangalia kwanza halafu nikamwambia " Kaitoe"
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,508 Reaction score 6,199 Mar 30, 2012 #7 Heee kumbe unafanya matusi kavu kavu kudadadeki
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,079 Mar 30, 2012 #8 mmmhhh Lizzy wiki hii....jana mada 'mimba'...leo mada ...'nna mimba',am i smelling something here? (just thinking aloud)!
mmmhhh Lizzy wiki hii....jana mada 'mimba'...leo mada ...'nna mimba',am i smelling something here? (just thinking aloud)!
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Mar 30, 2012 #9 rejao said: jibu lililonijia kichwani mara ya kwanza.....kaitoe(joke)!!! Click to expand... hautanii wewe na mpua hilo na umagamba wako ulitoa kweli!
rejao said: jibu lililonijia kichwani mara ya kwanza.....kaitoe(joke)!!! Click to expand... hautanii wewe na mpua hilo na umagamba wako ulitoa kweli!
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Mar 30, 2012 #10 Mbona wewe hujasema ulijisikiaje!
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,475 Mar 30, 2012 Thread starter #11 Kifulambute said: nilimwangalia kwanza halafu nikamwambia " Kaitoe" Click to expand... Loh!! Picha ikaisha vipi?
Kifulambute said: nilimwangalia kwanza halafu nikamwambia " Kaitoe" Click to expand... Loh!! Picha ikaisha vipi?
Eeka Mangi JF-Expert Member Joined Jul 27, 2008 Posts 3,173 Reaction score 486 Mar 30, 2012 #12 Nilishangaa sana maana ilikuwa siku moja tu na tulitumia kinga!
Mkuu wa chuo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 7,625 Reaction score 5,341 Mar 30, 2012 #13 mi nilimwambia acha ujinga, nikamwambia we si ulikuwa na yule mchizi kwani umemwambia na yeye!?
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 Mar 30, 2012 #14 Mamkwe Mzima lakini Nilichekelea lol!!!
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,475 Mar 30, 2012 Thread starter #15 Bishanga said: mmmhhh Lizzy wiki hii....jana mada 'mimba'...leo mada ...'nna mimba',am i smelling something here? (just thinking aloud)! Click to expand... Bishanga natarajia. . .ni siku tu nahesabu. @Taijike. . . Hongera mwaya!!
Bishanga said: mmmhhh Lizzy wiki hii....jana mada 'mimba'...leo mada ...'nna mimba',am i smelling something here? (just thinking aloud)! Click to expand... Bishanga natarajia. . .ni siku tu nahesabu. @Taijike. . . Hongera mwaya!!
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,475 Mar 30, 2012 Thread starter #16 SI unit said: Mbona wewe hujasema ulijisikiaje! Click to expand... Raha sana aisee.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,475 Mar 30, 2012 Thread starter #17 Eeka Mangi said: Nilishangaa sana maana ilikuwa siku moja tu na tulitumia kinga! Click to expand... Hahahaha. . . Alafu? Ilikua kweli au alikua anakuzingua?
Eeka Mangi said: Nilishangaa sana maana ilikuwa siku moja tu na tulitumia kinga! Click to expand... Hahahaha. . . Alafu? Ilikua kweli au alikua anakuzingua?
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,475 Mar 30, 2012 Thread starter #18 Mkuu wa chuo said: mi nilimwambia acha ujinga, nikamwambia we si ulikuwa na yule mchizi kwani umemwambia na yeye!? Click to expand... Ukakataa mpaka leo na kesho au ulijirudi?
Mkuu wa chuo said: mi nilimwambia acha ujinga, nikamwambia we si ulikuwa na yule mchizi kwani umemwambia na yeye!? Click to expand... Ukakataa mpaka leo na kesho au ulijirudi?
NYENJENKURU JF-Expert Member Joined Feb 11, 2011 Posts 1,067 Reaction score 299 Mar 30, 2012 #19 Lizzy said: Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje? Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje? Mawazo gani yaliwapitia kichwani?? Just CURIOUS. . . . Click to expand... Sema Lizzy unamimba unaogopa kumwambia jamaa yako unatafuta majibu kwanza kwa wanaJF.Mwambie tu unamimba acha uhoga bana...eeeeh
Lizzy said: Haijalishi uliikimbia, mliishia kutoa ama mlilea. Siku mwenzio alipokwambia "Nna mimba". . . "Nahisi/nadhani nna mimba!" ulijisikiaje? Na wewe mdada/mama ulipogundua/hisi una mimba ulijisikiaje? Mawazo gani yaliwapitia kichwani?? Just CURIOUS. . . . Click to expand... Sema Lizzy unamimba unaogopa kumwambia jamaa yako unatafuta majibu kwanza kwa wanaJF.Mwambie tu unamimba acha uhoga bana...eeeeh
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,475 Mar 30, 2012 Thread starter #20 Blaki Womani said: Mamkwe Mzima lakini Nilichekelea lol!!! Click to expand... Mzima kabisa mkwe. . . Hehehehehe andaa zawadi tu mkwe.
Blaki Womani said: Mamkwe Mzima lakini Nilichekelea lol!!! Click to expand... Mzima kabisa mkwe. . . Hehehehehe andaa zawadi tu mkwe.