new model ni hii je yako ipo kama hiiMkuu sio kama ulivyosema... ni new model boss!!
Hiyo ni 2005 Mzee!?new model ni hii je yako ipo kama hiiView attachment 827608
Imetumika/imetembea km ngapi??Habari wana Jamvi!!nna Gari harrier wanaita matako ya nyani reg namba ni B nna mpango Wa kuiuza inatembea haina tatizo lolote kama kuna mteja ama unaweza kupata mteja njoo pm tuzungumze bei 13 m tu..!!!!
Harrier InahitajikaHabari wana Jamvi!!nna Gari harrier wanaita matako ya nyani reg namba ni B nna mpango Wa kuiuza inatembea haina tatizo lolote kama kuna mteja ama unaweza kupata mteja njoo pm tuzungumze bei 13 m tu..!!!!
new model kwa 13m!!!! weweHabari wana Jamvi!!nna Gari harrier wanaita matako ya nyani reg namba ni B nna mpango Wa kuiuza inatembea haina tatizo lolote kama kuna mteja ama unaweza kupata mteja njoo pm tuzungumze bei 13 m tu..!!!!
Hiyo ni 2005 Mzee!?
Umeshinda mkuusasa gari ya 2005 iwe new model toka lini. ndomaana mdau akakuambia hiyo yako imeishakuwa old model kwasababu tayari kunatoleo jingine. mbona rahisi sana tu kufahamu hilo. unless neno new model wewe tafsiri yake kwa kiswahili haufahamu
Weka picha ya gari napia uweke specs za gari naitapendeza ukipiga picha ya gari za nje jins ilivyo na ndani jinsi ilivyoUmeshinda mkuu