Nmeshindwa kupata mpenzi

Nmeshindwa kupata mpenzi

Yaan kwanz kila mwanamke ambaye nitafanikiwa kuweza kuchat naye ananiambia ana mtu wake
hutakiwi kuwa serious sana unapotongoza, hawa viumbe ni wa ajabu, unapomchukulia poa yeye anakuchukulia serious and vice-versa, kwanza una umri gani mkuu
 
Kajifunzie kwa madada poa. Hawana tabu wale. Ukishapata uzoefu rudi mtaani. Angalizo: ukimwi upo na unaua.
 
Haya nisikilizeni kwa makini nyie wote ambao hamuwezi kutongoza (madomo zege) ingawa mimi silipendi hili neno domo zege. Kwanza mnatakiwa kufahamu kuwa mwanamke ni kiumbe mwenye huruma sana na mwelewa ila hataki kujulikana udhaifu wake,hapa namaanisha hupima maneno ya mtongozaji na juyatafsiri kwa namna tofauti kabla ya kufanya maamuzi au kutoa majibu. Huwaza labda unamkejeli,humpendi na umemtamani,unataka kumchezea au unataka kulipa kisasi. Sasa inakubidi uwe makini kidogo kumwendea huyu kiumbe. Unapompenda mwanamke kikibwa kabisa peleleza rafiki yake au mtu wke wa karibu na umuulizie habari zake kwa uchokozi kisha omba namba yake ya simu ikiwa anayo. Jenga tabia ya kumsalimia kila uchao na kuonesha unajali kama umeamkaje leo,umeshakunywa chai,umeshafika kazini,umepata lunch,unatoka muda gani?,naweza kukupick ulipo nikupeleke home ,usiku mwema,njozi njema kisha chokoza niote hapo lzm atachokonoka tu. Mtoe outing kwa kumpeleka labd dinner au beacha kupunga upepo na kadalika,jaribu kuonesha mahaba kw vitendo zaidi kuliko maneno atakuona km tapeli. Umesafiri mletee zawadi hata ni pipi onesha unajali,usikwazike na kukata tamaa kwa vile hajakujibu msg kwa wakati,kachelewa kupokea simu n.k maana hujui yupo ktk mazingira yapi. Jenga tabia ya kumsifia hat kwa jambo dogo ataona unamjali na unamfuatilia kwani mwanamke hupenda mwanaume wA hivyo. Ukitumia mbinu hii kwa mwezi au miezi miwili mfululizo unatengeneza upendi na hisia kali mawazoni mwake kiasi kwamba km mwanaume alienae hafanyi hayo atajiuliza maswali kumbe kuna mtu anaempenda na kumjali kwanini asiwe nae?,ukikaa siku mbili bila kumtafuta ataanza kukusumbua lazima,upo,mbona kimya,umenisusa au nakubore ujue hapo mtoto kakolea mkukutana ukimpa busu tu ataweka shavu sawa umeibua ngoma mengine mtaelewana mbele ya safari. Hizo ni baadhi ya mbinu ya kumpata msichna umtakae ikiwa huwezi kutongoza hat kama ana bwana atamwacha wanawake wanapenda kujaliwa kwa vitu vidogo vidogo asikwambie mtu.
 
Asanteee sana kwa hilo
 
Tafta pesa kwanza achana na hizo mambo km unasoma soma kwa bidii
 
Tupia picha tuione housing yako kwanza,ili tujue tunaanzia wapi kutoa ushauri.
 
Dah jaman cjui n udomo zege au n nn nashndwa kumtongoza mwanamke na kila nitakayepata ana mtu wake cjui nifanyaje
Hivi domo zege ndo ugonjwa gani? Maana kwa dunia ya sasa hauhitaji kuwa mshairi mahiri kuwapata wanawake. Siku hizi ukitaka kuwapanga foleni wanapangika. Sasa domo zege linatoka wapi?
 
Aisee mtu anaeza akakucheka ila hiyo hali ipo kabisaa,mwenyew niliwahi kukumbana nayo lakin nikagundua kumbe dawa ni kujijali mwenyewe kwanza,nikaanza kusave money afu najipenda mwenyew,sina tym na mtoto wa kike,Gymn kwa sana,nikaongeza nguvu kwenye kazi zangu,hee,Mara ghafla kila kitu kikaanza kwenda kama mungu ananiona Mimi tu!,nikaanza kwa kupata deal kubwa kubwa na mpunga mrefu,kwa bahati nzuri mi ni kijana niliejiajiri mwenyewe na biashara zangu ni halali kabisa,basi nikakuta watoto wa kike wengi kama nin na wengi wao nilikua naongea nao bila hata kuwaonesha uwezo wangu kifedha,nikaanza na vitoto vya chuo,piga weee mpaka nikachoka,nikahamia wale wakishua sasa,hapo niliweka mpaka nikaona sasa nitaambiwa nioe,sasa ndo nikaanza zile tabia za mtoto wa kiume anaependwa pendwa na wengi,Mara napewa namba afu siwatafuti basi watalalamika wakiniona,nikiachana nao naendelea ivo ivoo,no regrets wala nin,mi nafanya yangu na Baraka zinanijia kwa wingi kila kukicha,love kwa marafiki zangu ikaongezeka,saivi najihis kama mtu aliebarikiwa kuliko yeyote yule,ila mwanzo nilikua nahis kama nina gundu,kumbe siri ni kujipenda mwenyew then confidence itakuja tu na kila kitu aisee,wanawake cku hizi wako wengi na wanalijua hilo na sisi hatuwatongozi aisee,watajileta wenyeweee,unemployment itawatafuna vizuri sana na kutusaidia kutuletea hao ndugu zetu!
 
Back
Top Bottom