Nmesahau apple id

Raphael gadau

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,005
303
Wadau tunafanyeje hapo mwenye simu amesahau kila kitu msaada wenu
IMG-20190511-WA0004.jpeg
 
Wadau tunafanyeje hapo mwenye simu amesahau kila kitu msaada wenuView attachment 1093914
Hii password mpaka FBI/CIA ya Marekani iliwashinda kuitoa, sasa jiulize wewe mmatumbi utaiweza?

Mpaka sasa cha kufanya ni hiki...

Kama ni yako...

Jaribu kupata password mpya kwa kujibu maswali uliyoweka wakati unafungua account pia uwe unakumbuka email yako... Ikishindwa kama ni yako nenda ofisi za apple wakusaidie.

Kama sio yako...

Mrudishie mwenye nayo au uza kama skrepa kwa mafundi simu!! Tena ufanye haraka maana kama mmiliki ni mjanja anaweza aka search au akaenda polisi watakuja mpaka mlangoni kwako na utakamatwa kama kuku!!

Kwa kifupi mpaka sasa ivi utakua unatafutwa. Ila mkuu kuliko uuze buku 50 skrepa ni bora umrudishie mwenyewe.

BTW NAWAPONGEZA APPLE KWA KUWA ULINZI MKALI KWENYE SIMU ZAO.
 
Uongo wenye mkwara kama huu bana,..simu za sikuhizi tunazifumua fumua tu hata uweke ulinzi gani,tunatengua tu.
 
Mrudishie Mwenyewe hiki ndo nilichozipendea hizi simu kamwe sitaziacha iPhone Forever

08855D17-4441-4331-A00A-6D5564A36849.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom