one by professionl
Member
- Nov 21, 2019
- 28
- 10
Natanguliza shukuran;
Ndugu mm nimehitimu 2018 Diploma in secondary Education katka masons ya Biology na chemistry ila kwa sasa bado sija ajiriwa ila nahitaji mwaka huu niende kusoma degree ya BIOTECHNOLOGY ana LABORATORY Au MOLECULAR BIOLOGY ,,,Naomba mnisaidie kama inawezeka mtu mwenye diploma ya education kusoma degree hizo?
Sent using Jamii Forums mobile app