BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,533
- 11,027
Habar zenu wadau,,,nmekuwa mdau wa hili jukwaa kwa miez kadhaa.ila nmegundua kuwa co vyema kuweka contact zako humu ndan hasa unapotafuta Girl friend ama mchumba.yaan kuna usumbufu mkubwa saana,,,yaan imenibid nkaedit post zang ili kuziremove contact zang...ni her mtu aku PM kuliko kuweka hapa contact...yaan wapo wanaokutafuta kwa nia njema na wengne ni walaghai. Hakika jamii forums ni Msitu mnene