Nmeibiwa simu

briiricky

New Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Mm bwana richard nmeibiwa simu yangu aina ni galaxy S 2 19000 leo asbuh maeneo ya ufundi kurasin. Naomben msaada wenu wa kimawazo km mtawez kuniambia nn cha kufanya.
 
Tafuta mateja/vijana wa kijiweni eneo la karibu wauzie hiyo kesi
 
Galaxy S2 ni 19100 na sio 19000.
Ushauri wangu ni kwamba tafuta simu nyingine hayo mambo kwa mjini ni kawaida.
 
kuna mtu mtaani kwetu kaibiwa macbook air kachanganyikiwa anaongea peke yake ushauri kuibiwa ni uzembe nunua simu nyingine!
 
Mm bwana richard nmeibiwa simu yangu aina ni galaxy S 2 19000 leo asbuh maeneo ya ufundi kurasin. Naomben msaada wenu wa kimawazo km mtawez kuniambia nn cha kufanya.

Pole Mkuu. Kwa Jiji hili, hiyo andika HASARA YA MWISHO WA MWAKA na nunua simu nyingine.
 
Ungekua unatumia simu ya kawaida mda huu usingekua unaumiza kichwa...tena ungeahukuru wamekuibia ukanunua simu mpya!! Sasa simu ya gharama ona inakukosti!! Pole mkuu...jikaze na usinunue simu zenye gharama ya kiwanja tena!!
 
Ingekua IOS ungeipata kwa kitrack through Ipad

Kama hakuwa ameweka phone finder basi imekwenda.
Wenye simu jamani wekeni phone finder apps.
Pole man.

Sent from my Samsung Note III using Tapatalk
 
Nichek nikuuzie galaxy note 2,a month now since I bought!Laki 8
 
Pole sana
Nunua Nokia ya tochi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…