Fundisanifu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 515
- 625
ofcoz it must maana najua na ww ni walewale hujui ngeli wala sawahel.imenigusa,
ofcoz it must maana najua na ww ni walewale hujui ngeli wala sawahel.
hahahaaaaaaa sasa mm hayo nmeyajuaje lol??!! am a pure Bantuna wewe unaonekana uko kama mimi tu.
umechemka ama nene???Hhhh
Mambo atotoKiswahili kigumu,kiswahili kigumu,kilugha nacho kigumu.
Basi tena.
Poa magariMambo atoto
Nene pia ni kiswahili? Wasomi wa siku hizi tatizo. Yupo jamaa mmoja ni mwalimu nguli tena naambiwa ni mtaalamu sana kwenye kufundisha lakini nilishangaa kuona kwenye meseji anaandika "axante xana" kahum
umechemka ama nene???
Ngoja nikufundishe kiswahili, wasikubabaishePoa magari
Nifundishe kilugha.Ngoja nikufundishe kiswahili, wasikubabaishe
Kiswahili ni kilugha pia.Nifundishe kilugha.
yupo anakuza written literature.... akiach kuitumia hyo x itatumikaj???Nene pia ni kiswahili? Wasomi wa siku hizi tatizo. Yupo jamaa mmoja ni mwalimu nguli tena naambiwa ni mtaalamu sana kwenye kufundisha lakini nilishangaa kuona kwenye meseji anaandika "axante xana" kah