NMB wamenivuruga usiku huu

NMB wamenivuruga usiku huu

Noel wa ruben

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2020
Posts
364
Reaction score
517
Kiukweli nimechukia Sana ukizingatia nilikua nauhitataji wa fedha, Sasa nimeshuka sehemu nikaamua niangalie salio ili nichukue fedha kwa ajili ya Mambo yangu kwa kutumia NMB mobile.

Cha kushangaza naangalia salio na kutana na NMB APP wakati nilisha zoea kuangalia salio kwa njia ya kawaida Sasa nimeingiza neno la Siri hola mwishowe nimefungiwa nimebaini tumelazimishwa kua na NMB APP bila kupewa taarifa, huu ni unyanyasaji mkubwa kwa wateja kulazimisha kua na app yao.

Nini kimejificha kwenye app hii hadi mtu alazimishe? Napiga simu huduma kwa wateja hawapokei wote wamelala.
 
NMB wameachia update ya app yao lakini imekuwa mbovu haijawahi kutokea,kibaya zaidi ukiwa na version ya nyuma ukiifungua inagoma uki-update nayo inagoma.

Ile app ya mwanzo ilikuwa kwa kiasi inajitosheleza na ilikuwa friendly kwa matumizi,ma-IT wa NMB dizain ni makanjanja walitakiwa wajue wakiboresha kitu hakiwezi kikafanya kazi 100% wangeacha milango ya kutumia app ya mwanzo wakati wakirekebisha hizo errors lakini sasa uki-downgrade haikubali uki-update haikubali uki-uninstall still wanakuhimiza uitafute uitumie huku makosa hawajayarekebisha.
 
Uko sahihi kabisa ukiupdate tu kwisha habari yako
 
Kuna Warusi kupitia malware wanadukua taarifa zetu sana
 
Kiukweli nimechukia Sana ukizingatia nilikua nauhitataji wa fedha, Sasa nimeshuka sehemu nikaamua niangalie salio ili nichukue fedha kwa ajili ya Mambo yangu kwa kutumia NMB mobile.

Cha kushangaza naangalia salio na kutana na NMB APP wakati nilisha zoea kuangalia salio kwa njia ya kawaida Sasa nimeingiza neno la Siri hola mwishowe nimefungiwa nimebaini tumelazimishwa kua na NMB APP bila kupewa taarifa, huu ni unyanyasaji mkubwa kwa wateja kulazimisha kua na app yao.

Nini kimejificha kwenye app hii hadi mtu alazimishe? Napiga simu huduma kwa wateja hawapokei wote wamelala.
Wanakera kwel mm JAna nilijarbu Salary Advance wakazingua eti kisa sina Mkopo Nmb wakat Mshahara unapitia kwao Nmb?
Yan ni mambo ya hovyo sana wanaleta kwa wateja.
Kimsingi wanatulazimisha tukope ndipo tupate huduma ya salary Advance
 
NMB wameachia update ya app yao lakini imekuwa mbovu haijawahi kutokea,kibaya zaidi ukiwa na version ya nyuma ukiifungua inagoma uki-update nayo inagoma.

Ile app ya mwanzo ilikuwa kwa kiasi inajitosheleza na ilikuwa friendly kwa matumizi,ma-IT wa NMB dizain ni makanjanja walitakiwa wajue wakiboresha kitu hakiwezi kikafanya kazi 100% wangeacha milango ya kutumia app ya mwanzo wakati wakirekebisha hizo errors lakini sasa uki-downgrade haikubali uki-update haikubali uki-uninstall still wanakuhimiza uitafute uitumie huku makosa hawajayarekebisha.
Mtazoea tu ni kawaida tu ya kitu kipya mwanzoni watu kupiga kelele
 
NMB wameachia update ya app yao lakini imekuwa mbovu haijawahi kutokea,kibaya zaidi ukiwa na version ya nyuma ukiifungua inagoma uki-update nayo inagoma.

Ile app ya mwanzo ilikuwa kwa kiasi inajitosheleza na ilikuwa friendly kwa matumizi,ma-IT wa NMB dizain ni makanjanja walitakiwa wajue wakiboresha kitu hakiwezi kikafanya kazi 100% wangeacha milango ya kutumia app ya mwanzo wakati wakirekebisha hizo errors lakini sasa uki-downgrade haikubali uki-update haikubali uki-uninstall still wanakuhimiza uitafute uitumie huku makosa hawajayarekebisha.
Ila app yao ilikuwa inatuma sms otp kila unapo log in , making it useless kama unatumia wifi au upo nje ya nchi.
Hii mpya ipo powa ila sema inahitaji markebisho kadhaa wamejitahidi japo security wise wamejihami kupita maelezo kama umeroot android au ku enable developer option haikubali ku install
 
Kiukweli nimechukia Sana ukizingatia nilikua nauhitataji wa fedha, Sasa nimeshuka sehemu nikaamua niangalie salio ili nichukue fedha kwa ajili ya Mambo yangu kwa kutumia NMB mobile.

Cha kushangaza naangalia salio na kutana na NMB APP wakati nilisha zoea kuangalia salio kwa njia ya kawaida Sasa nimeingiza neno la Siri hola mwishowe nimefungiwa nimebaini tumelazimishwa kua na NMB APP bila kupewa taarifa, huu ni unyanyasaji mkubwa kwa wateja kulazimisha kua na app yao.

Nini kimejificha kwenye app hii hadi mtu alazimishe? Napiga simu huduma kwa wateja hawapokei wote wamelala.
App za NMB zinasumbua sana, kila mara zinakutaka ubadilishe neno la siri.
 
Pole ila bora wewe , mimi nimepigwa na voda bima, nilijiunga baada ya kuona kila nikiumwa sipati pesa ya pole nikajitoa, ikachukua kama miezi 2 juzi nilipoweka tu pesa wakaanza kukata kuwauliza wananijibu wewe ni mwanachama wa voda bima

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Walinibembeleza sana kuniunga kwenye huo upuuzi wao. Nikawakatalia katakata. Maana nawafahamu fika namna walivyo wezi.
 
Watanzania wengi wana elimu ndogo sana.
Ile App haina tatizo lolote lile.

Ukute ulikuwa walazimisha pw wakati umetumiwa kwa sms
 
Back
Top Bottom