Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,085
Hii benki na nyingine ni wezi tu. Hata kuangalia salio eti wakakuata pesa + VAT! Siyo wizi ni nini? Tanzania hii ya Magufuli kuna siku tutakatwa pesa kwa kuangalia salio la muda wa maongezi kwenye simu. Tuifutie mbali hii serikali hapo October 28th.