NMB tawi la Mbezi Luis

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
880
618
Hbr za asubuhi wana jf. Kuna siku nilipita mbezi mwisho karibu na stendi ya daladala ya malamba mawili,nikaona jirani pale kuna tawi la benki ya Nmb. Vp wameshaanza kazi.? Wengine tuko porini huku, mjini hadi tuoge Kwanza, maana mkuu wa mkoa kadai tusije mjini hadi tuoge kwanza.
 
Tabia za watu wa Njombe hizo huku joto kuoga ni kama kula Njombe si mnamalizaga wiki mnapiga mswaki tu
 
Tabia za watu wa Njombe hizo huku joto kuoga ni kama kula Njombe si mnamalizaga wiki mnapiga mswaki tu
Hahahaha hapo mwisho nimekumbushia tu usemi wa mkuu wa mkoa. But njombe imehusikaje hapa tena? Hapa mada yetu ni nmb, tu. Mengine rudisha kwenye uzi wake halisi
 
Hbr za asubuhi wana jf. Kuna siku nilipita mbezi mwisho karibu na stendi ya daladala ya malamba mawili,nikaona jirani pale kuna tawi la benki ya Nmb. Vp wameshaanza kazi.? Wengine tuko porini huku, mjini hadi tuoge Kwanza, maana mkuu wa mkoa kadai tusije mjini hadi tuoge kwanza.

Hii Thread ina Hadhi kweli ya kuwekwa hapa JamiiForums The Home of Great Thinkers?
 
Great thinkers hata wakiona neno moja tu wanali judge, sembuse essay nzima. Hv ktk ma great thinkers wa humu na wewe unajihesabu?

Mpaka nimeweza Kugundua Upumbavu uliouwasilisha tayari Mimi ni Great Thinker na halo wala halihitaji mjadala wowote ule.
 
Back
Top Bottom