position gani??Salamu kwenu Marafiki watafutaji.
Msaada juu ya kichwa cha habari hapo juu. Ningependa kujua nature ya maswali yatolewayo hasa written kwa taasisi kama NMB
Mkuu halafu inaonesha una hasira za ghafla na kupanic.... kuwa makini itakusaidia kwenye oral interview kama ukifaulu written...yangu ni hayo tuJibuni basi wadau ata kama hujui unaandika tu sijui kuliko kukaa kimya.
Jiandae na BODMAS za kutoshaSalamu kwenu Marafiki watafutaji.
Msaada juu ya kichwa cha habari hapo juu. Ningependa kujua nature ya maswali yatolewayo hasa written kwa taasisi kama NMB
Mkuu halafu inaonesha una hasira za ghafla na kupanic.... kuwa makini itakusaidia kwenye oral interview kama ukifaulu written...yangu ni hayo tu
maswali yanabadilika usitegemee ya kukaririshwa
Salamu kwenu Marafiki watafutaji.
Msaada juu ya kichwa cha habari hapo juu. Ningependa kujua nature ya maswali yatolewayo hasa written kwa taasisi kama NMB
Mkuu halafu inaonesha una hasira za ghafla na kupanic.... kuwa makini itakusaidia kwenye oral interview kama ukifaulu written...yangu ni hayo tu
maswali yanabadilika usitegemee ya kukaririshwa

Mkuu jua kali tu hadi kichwa kinachemka...Hesabu zile za watu wawili hulima ekari tatu kwa masaa matatu je watu sita watalima ekari ngapi kwa masaa sita? Pamoja na English grammar

Kwani NMB wanatangazaga nafasi za kazi jaman? Mbona sijawahi kusikia.
Sio kweli!Connection
Hio si interview bali ni kupotezeana muda tu.Hesabu zile za watu wawili hulima ekari tatu kwa masaa matatu je watu sita watalima ekari ngapi kwa masaa sita? Pamoja na English grammar
Lingine huwa wanauliza “Bata mbele ya bata, bata nyuma ya bata” je, ni bata wangapi?
jibu ni (C) 3
![]()

hatari eti jibu ni CMkuu halafu inaonesha una hasira za ghafla na kupanic.... kuwa makini itakusaidia kwenye oral interview kama ukifaulu written...yangu ni hayo tu
maswali yanabadilika usitegemee ya kukaririshwa