NMB northern zone wamejibu

Wanatumia namba ipi? Nimekuta missed call kwenye simu yangu
 
Naendelea kuwapigia hadi kesho ila mjiandae, wengi wenu mnavyeti vizuri lakini content kichwani na confidence ni hamna karibuni nmb
 
 

mil 67,500,000 zimekwenda hizo
 
hongereni wadau mulioitwa ,naomba kuuliza kwenye issue ya departiment ulikuwa unajaza nin??nahisi ntakuwa nilikosea kipengere hicho...kuhsu mshahara usitaje specific angalia rink ya graduate mshahara anaanzia sh ngap wawaza kusema kati ya laki 6.5 mpaka laki8
 
Reactions: efn

Umejib vizur ingawa bado upo juu... wengi wanalipwa laki 5 mkuu so atleast useme salary range ya kati ya laki 4 hadi 6 bas...
 
Umejib vizur ingawa bado upo juu... wengi wanalipwa laki 5 mkuu so atleast useme salary range ya kati ya laki 4 hadi 6 bas...

Kwani ukisema milioni moja na nusu watakufanya nini?Be confident taja pesa unayoitaka kwa kuzingatia kazi utakayowafanyia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…