Kwanza lazima uwe na document husika za hiyo ardhi/ nyumba
Physicall watakuja hakiki uwepo wa hiyo arddhi/ Nyumba.
Pia huwa wanaangalia flow ya fedha kwenye account yako angalau kwa miezi mitatu [kama wewe ni mfanya biashara]
Kwa mtumishi serikalini - Mkurugenzi/ mwajiri wako huwa ni mzamini wako hivyo waweza kuchukua mkopo wa muda mfupi au wa muda mrefu - Hapa kinachoangaliwa ni miaka mingapi umebakiza ya kuwa mtumishi kabla ya kustaafu
Ila ni vyema kufika tawi la NMB lilo karibu nawe ili kupata ufafanuzi wa kina zaidi.