BOT tusaidieni. NMB sasa wamekuja na mfumo mpya wa kuendesha utoaji wa pesa kwenye ATM, sisi kama wateja tunaona kama kutucharge zaidi. Siku za hivi karibuni ukitoa pesa kwenye ATM hupati risiti wakati hapo mwanzo ulikuwa ukitoa pesa unapata risiti ili ujue kilichobaki. Maana yake inabd tena uombe salio ndio wakupatie risiti ambapo itabd wakukate tena, lakini wakati natoa pesa wamenikata, sasa kwa nini wasitupe na risiti.
Huu mfumo sio rafiki kwa sisi tunaopenda kujua salio lilobaki ni kiasi fulani.
BOT tusaidieni kwa hili.
Nawakilisha!!!
Huu mfumo sio rafiki kwa sisi tunaopenda kujua salio lilobaki ni kiasi fulani.
BOT tusaidieni kwa hili.
Nawakilisha!!!