tz2015
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 982
- 447
Nadhani ni mtandao wa voda.@nmb ni janga
Nadhani ni mtandao wa voda.@nmb ni janga
.Du, masaa 72!!!
Kwa hiyo tatizo ni Mpesa na NMB au? Sasa mbona wateja hatujajulishwa kuwa tutegemee uchelewaji wa huduma ili tuogope hiyo service kama ukoma.
Karibu katika tawi letu lolote la NMB lililo karbu nawe. Ukifka nenda, customer service depatment, ukfka jieleze, then kuna fomu watakupa uijaze. Ukmaliza kuijaza warudshie, then wao wataituma mda huo huo Makao Makuu na ndani ya masaa 24 Makao Makuu watakua wamekurudshia hela yako.
NOTE: Jumamosi na Jumapili Makao Makuu huwa hawafanyi kazi, kwahyo ni bora ukaenda kati ya J3 na Alhamisi.
Hawa jamaa kinachowapa chati ni kwa vile wamefika katika kila wilaya na wanafanya biashara na taasisi nyingi za serikali hasa halmashauri za wilaya, vinginevyo wangekuwa wameishafutika siku nyingi. Utoaji huduma wao ni wa karne ya 19.
Pia regulators wa shuguli za kibenki inaonekana wamelala fofofo hawajui nini walitendalo ndio maana wateja tunataabika[/QUOTE
Pesa ya serilali na taasisi zake ziwekwe Benki kuu.Hapo NMB itakuwa kwishne.
hela zako unaambiwa ujaze fomu kulikuwa haja gani ya kuanzisha huduma ya nmb mobile wakat hamjajipanga ovyo kabisa
Nadhani ni mtandao wa voda.
Nenda karatu hayana msaada wowote kila cku nenda rudi.rombo ndo usiseme mteja wa alfu 90 anamaliza nusu sa.wako slowly
Nadhani ni mtandao wa voda.
Mleta mada anachanganya mambo,hapa voda ndo hawako serious.nmb hawana tabu,ndo maana ukitupia tigo ni dakika tu unapata majibu.Wateja wa mpesa wangekuwa kama mimi tungeheshimiana,customer care namfokea kama binti yangu
Karibu katika tawi letu lolote la NMB lililo karbu nawe. Ukifka nenda, customer service depatment, ukfka jieleze, then kuna fomu watakupa uijaze. Ukmaliza kuijaza warudshie, then wao wataituma mda huo huo Makao Makuu na ndani ya masaa 24 Makao Makuu watakua wamekurudshia hela yako.
NOTE: Jumamosi na Jumapili Makao Makuu huwa hawafanyi kazi, kwahyo ni bora ukaenda kati ya J3 na Alhamisi.
Hatimaye nimewapata hawa jamaa wa NMB Mobile kwa njia ya simu. Jibu nililopewa limeniacha hoi bin taaban. Mhudumu bila hata ya kusema samahani ameniambia "kulikuwa na tatizo kwenye mtandao tunalishugulikia hela yako itarudishwa kwenye account yako Jumatano jioni"
Kirahisi rahisi kabisa hela yangu haiko kwenye possession yangu kwa siku tano na sina cha kufanya. Hii benki ni ya kipuuzi, kibazazi, kipumbavu, kijinga na haifai kabisa kuendelea kutoa huduma karne hii. Kama ningekuwa nilihamisha hela kwa ajili ya kulipia huduma muhimu ingekuwa imekula kwangu mazima, unaweza kuua mgonjwa hivihivi kama utategemea hii benki ya hovyohovyo. Hiyo customer service ni kama nimeongea na muuza gongo, sauti kavu iliyojaa kiburi. Hii benki naiombea kila laana iipate ikiwezekana hata ifilisike. Ngoja foleni ya wachukua mshahara ipungue naenda kutoa hela zangu zote kwenye account nahamishia kwenye Kibubu...