NMB mobile haina msaada kama umekwama

NMB mobile haina msaada kama umekwama

hii app inabagua watumiaji wa iphone ni mpaka android,nmb inabidi waliangalie hili

Android na ios app zao haziingiliani nafkiri sidhani kama wana app kwa ios users nadhani iliyopo ni kwa watumiaji wa android tu ambao ndio wengi kuliko wa ios kiongozi...!
 
Ina maana ukiwa nje ya nchi au ukitumia Wi-fi huwezi kupata huduma kwenye hii app ya nmb mobile?
Nope. Hauwezi kwasababu ile App Behind the scene inatumia USSD codes zile zile na ndio maana ukiweka App kwenye simu zenye double lines hafu ukawa umeweka Dials zote ziwe laini ambayo haujasajilia NMB mobile inakataa.
 
Hata crdb app yao ya sim banking pia inagoma kufunguka ukiwa hauna salio kwa watuamiaji wa tigo,sijajua kwa mitandao mingine
Unazungumzia app au ussd? Ukishasema app maana yake utatumia data mkuu. App haiusiani na salio tena. Hapo itabidi ujiunge kifurushi cha data ili utumie app.
Na ili uweze kutumia app, lazima uwe umeshajiunga simbanking kwa ussd.
 
Nope. Hauwezi kwasababu ile App Behind the scene inatumia USSD codes zile zile na ndio maana ukiweka App kwenye simu zenye double lines hafu ukawa umeweka Dials zote ziwe laini ambayo haujasajilia NMB mobile inakataa.
Mkuu crdb unaweza kuaccess hata ukiwa jupiter. Ili mradi umeshajiunga fresh na app ipo fresh. Hata line isipokuwa kwenye simu yani simu utatumia tu. Maana hakuna sehemu itakutumia one time password (otp).. huwa inahitaji neno la siri la simbanking.
 
Nmb

Washamba kinoma, ingia crdb ujionee maajabu. Watu wapo vizuri, vijana wengi. Wanazijua product fresh. Nmb wazee wengi, wamechoka kinoma. Mfano nilitaka kupurchase online yani nilizungushwa hiyo siku, mwingine anasema chap chap haiwez mwingine anasema inaweza ikiwezeshwa. Me nikawambia basi iwezesheni.

Wakajaribu weee, mwisho wakasema system inasumbua itabid niibadili hiyo akaunti iwe ya kawaida. Hilo nikalikataa maana ingeanza kuincur makato.

Basi wakanipa option ya kufungua prepaid akaunti tena wanasema ni special kwa manunuzi. Nikakubali. Mchakato ukaanza. Nilipomaliza nikaambiwa niiwekee hela. Nilikuwa nina 90k. Nimeenda kwa cashier akawa haelewi eti, kabla hata hajalogin akasema mtandao wa hiz haupo, eeh bwana ee, niliudhika hiyo siku, nikarudi kwa aliyeifungua akanambia ingia bulk kuna mtu atakusaidia.

Kule nikakuta kuna sister flani nikamuuliza kwann mtandao wa prepaid haupo eti akajifanya kushangaa, akaniuliza nimejuaje. Nikamwambia cashier kasema. Akaichukua kadi yangu na hela akalogin akadeposit ile hela fresh. Akachukua simu akamcall huyo cashier akaanza kumind. Mwisho akamwambia akija mteja wa prepaid mwelekeza aje bulk.

Hii ikanipa picha kabisa kuwa hawa staff ni viazi kwakuwa hawazijui product zao.
hili ni tatizo kubwa sana. kuna kitu unaenda kuuliza mfanyakazi wa benki huku kichwani unajiuliza, "sijui kama wataelewa?"
 
Mkuu crdb unaweza kuaccess hata ukiwa jupiter. Ili mradi umeshajiunga fresh na app ipo fresh. Hata line isipokuwa kwenye simu yani simu utatumia tu. Maana hakuna sehemu itakutumia one time password (otp).. huwa inahitaji neno la siri la simbanking.
Umemaliza. NMB kila siku lazima wanitumie OTP nikitaka kulogin.
 
suluhisho ni hili

kama unatumia nmb app umeinstall katika mchina mfano techno,au infinix au dogoli lolote la laini mbili BASI HAKIKISHA LINE AMBAYO UMESAJILI NMB MKONONI IWE UMEISET KATIKA CALL YAANI UNAINGIA KWA SETTING THEN SIM CARD PALE UTAKUTA ( MOBILE,CALL,SMS) SASA KWENYE CALL HAPO CHAGUA LINE AMBAYO IMEUNGANISHWA NA NMB MKONONI.. kutokea hapo utakuwa unalog in tu bila wasiwasi kabisa
 
Natumia nmb App nimeinstall kwenye Msouth Korea mfano Samsung ya laini mbili HAPA NATAKIWA NI HAKIKISHE KITU GANI?
 
suluhisho ni hili

kama unatumia nmb app umeinstall katika mchina mfano techno,au infinix au dogoli lolote la laini mbili BASI HAKIKISHA LINE AMBAYO UMESAJILI NMB MKONONI IWE UMEISET KATIKA CALL YAANI UNAINGIA KWA SETTING THEN SIM CARD PALE UTAKUTA ( MOBILE,CALL,SMS) SASA KWENYE CALL HAPO CHAGUA LINE AMBAYO IMEUNGANISHWA NA NMB MKONONI.. kutokea hapo utakuwa unalog in tu bila wasiwasi kabisa

Una uhakikaka kuwa una log in hata kama simu haina internet bundle kiongozi...?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom