Mleta mada issue ipo hivi:
Mabenki huwa yanaingia mikataba na makampuni ya simu. Unapotumia hiyo huduma bure ni kwamba benki inamlipa mwenye kampuni ya simu. Kama hawamlipi maana yake hutaweza kuingia mpaka uwe na salio, hii ni kwa ussd.
Mobile app, yenyewe itahitaji MB tu unaingia fresh.
Sema ujinga wa nmb, wanataka namba iliyosajiliwa na nmb mkononi ndio hiyo iwe na bando kwa wale wanaotumia App. Hii inaudhi kishenzi.
Crdb ukishakuwa na mob app, unatumia data kutoka mtandao wowote
NMB WENGI WAZEE, WASHAMBA KINOMA