NMB mobile haina msaada kama umekwama

NMB mobile haina msaada kama umekwama

road master

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
2,064
Reaction score
3,021
Kiukweli huu ni ujinga kabisa!! Sina salio la mtandao ila benk nina pesa sasa nikitaka kuingia NMB mobile ina shindikana huu ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa!!

Sasa nmb mobile hii huduma ina maana gani? Yan aliyeleta huu utaratibu ni mpumbavu sana sana!! Kwann hafikiruu kuna watu tupo vijijini hij huduma yaweza kuwa msaada!?

Yaani lazima uwe na salio la mtandao ndio uingie NMB mobile? Sasa kama mtu hana balansi ya salio la mtandao inakuwaje!?? Yan daaa !!!kwann makato yasiwe baada ya kuchukuwa pesa yako? Tafadha tcra ingikieni hili kati
 
Kwa kweli hii ni kero. Wafanye utaratibu wakate kiasi chao baada ya muamala wa nmb mobile kusoma.
 
Hata tigo kwa Postal Bank naona inagoma wakati nina kitu kama 800 kwenye salio la muda wa hewani
 
Airtel naona ndo wazalendo pekee walobakia. Wasitugeuke tu na wao.
Watawageuka tu maana ni kama kuna vita baridi kati mobile service operators na banks kwa sababu ya huduma za kifedha.
 
Daah!! Kazi ipo.
Watu kuhamia kwenye banking services maana yake makampuni ya sim yanapoteza mapato,pia bank zinapata wateja kupitia huduma za makampuni ya simu.

Ninachoona hapa ni kwamba makampuni ya simu yanaweza pandisha bie ya kutumia huduma za kifedha/bank kuwa ghali zaidi. Banks inabidi wawe na apps zao ambazo unatumia bundle tu , inakuwaje bank kubwa kama NMB hawana app?
 
Watu kuhamia kwenye banking services maana yake makampuni ya sim yanapoteza mapato,pia bank zinapata wateja kupitia huduma za makampuni ya simu. Ninachoona hapa ni kwamba makampuni ya simu yanaweza pandisha bie ya kutumia huduma za kifedha/bank kuwa ghali zaidi. Banks inabidi wawe na apps zao ambazo unatumia bundle tu , inakuwaje bank kubwa kama NMB hawana app?

Aisee una uhakika na hiko ulichokiandika kwenye hayo maandishi mkundu...?
 
Watu kuhamia kwenye banking services maana yake makampuni ya sim yanapoteza mapato,pia bank zinapata wateja kupitia huduma za makampuni ya simu. Ninachoona hapa ni kwamba makampuni ya simu yanaweza pandisha bie ya kutumia huduma za kifedha/bank kuwa ghali zaidi. Banks inabidi wawe na apps zao ambazo unatumia bundle tu , inakuwaje bank kubwa kama NMB hawana app?
App ipo.
 
Mleta mada issue ipo hivi:
Mabenki huwa yanaingia mikataba na makampuni ya simu. Unapotumia hiyo huduma bure ni kwamba benki inamlipa mwenye kampuni ya simu. Kama hawamlipi maana yake hutaweza kuingia mpaka uwe na salio, hii ni kwa ussd.

Mobile app, yenyewe itahitaji MB tu unaingia fresh.

Sema ujinga wa nmb, wanataka namba iliyosajiliwa na nmb mkononi ndio hiyo iwe na bando kwa wale wanaotumia App. Hii inaudhi kishenzi.

Crdb ukishakuwa na mob app, unatumia data kutoka mtandao wowote

NMB WENGI WAZEE, WASHAMBA KINOMA
 
Mashart na vigezo kuzingatiwa.

Hata ivyo Hallotel na Airtell ni bure.
Lakini pia nmb app haiitaji salio zaidi ya internet.

Tatizo liko kwako kukaa huko madongokwinama. Hama huko vijijini.
Kiukweli huu ni ujinga kabisa!! Sina salio la mtandao ila benk nina pesa!!!sasa nikitaka kuingia NMB mobile ina shindikana huu ni upuuzi wa kiwango cha juu kabisa!! Sasa nmb mobile hii huduma ina maana gani!?? Yan aliyeleta huu utaratibu ni mpumbavu sana sana!! Kwann hafikiruu kuna watu tupo vijijini hij huduma yaweza kuwa msaada!?...
 
Mleta mada issue ipo hivi:
Mabenki huwa yanaingia mikataba na makampuni ya simu. Unapotumia hiyo huduma bure ni kwamba benki inamlipa mwenye kampuni ya simu. Kama hawamlipi maana yake hutaweza kuingia mpaka uwe na salio, hii ni kwa ussd.

Mobile app, yenyewe itahitaji MB tu unaingia fresh.

Sema ujinga wa nmb, wanataka namba iliyosajiliwa na nmb mkononi ndio hiyo iwe na bando kwa wale wanaotumia App. Hii inaudhi kishenzi.

Crdb ukishakuwa na mob app, unatumia data kutoka mtandao wowote

NMB WENGI WAZEE, WASHAMBA KINOMA
Kumbuka watumishi ni lazm mshahara upotie bank na nmb ni countrywise pia ukia hata semina za serikali nmb wanaanza pokea pesa kuliko bank yoyote ile!!!yan nmb mnasnza pokea bank nyingine wanasuburi hata week !!! Hivyo kusema nmb ni ya kishamba hujui unachokiongea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom