Banktelller ambaye ni dada anayeshughulikia check katika bank hii ni tatizo kubwa kwani yupo taratibu Sana kutekeleza majukumu yake. Mteja anaweza peleka check akakaa hata siku nzima bila kuona muamala umeingia. Nmb kumbukeni kwamba watu wana shughuli mbalimbali za kuinua kipata chao. Muda ni...