Ditex JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 284 Reaction score 889 Jan 9, 2024 #1 Wakuu naombeni mnisaidie mambo mawili 1. Makato mapya ya uwakala nataka nifahamu, maana nilitoa pesa 1,700,000 wamekata 11,500. 2. Pia naomba nijue kupata taarifa fupi za mwezi za miamala za akaunt yangu , kwenye app wananipa za muda mfupi tu
Wakuu naombeni mnisaidie mambo mawili 1. Makato mapya ya uwakala nataka nifahamu, maana nilitoa pesa 1,700,000 wamekata 11,500. 2. Pia naomba nijue kupata taarifa fupi za mwezi za miamala za akaunt yangu , kwenye app wananipa za muda mfupi tu
Mjanja M1 JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 4,197 Reaction score 14,896 Jan 9, 2024 #2 Wanakuja. KaziKweliKweli/JobTrueTrue
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,806 Reaction score 2,043 Jan 9, 2024 #3 Kwenye App nenda sehemu wameandika TAARIFA KAMILI then clip hapo, utaandika tarehe za miamala unayotaka then mzigo unakuja chap tu.
Kwenye App nenda sehemu wameandika TAARIFA KAMILI then clip hapo, utaandika tarehe za miamala unayotaka then mzigo unakuja chap tu.
jerryempire JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 5,866 Reaction score 10,163 Jan 9, 2024 #4 Mimi jana nmetoa 50k wamekata 5k nikabakia kusema tu huu wiz sasa bas
Mangungo II JF-Expert Member Joined Jul 6, 2012 Posts 18,208 Reaction score 27,016 Jan 9, 2024 #5 jerryempire said: Mimi jana nmetoa 50k wamekata 5k nikabakia kusema tu huu wiz sasa bas Click to expand... Huwa sitoi Hela kwa wakala. Makato lazima yawe juu benki na wakala wapate faida
jerryempire said: Mimi jana nmetoa 50k wamekata 5k nikabakia kusema tu huu wiz sasa bas Click to expand... Huwa sitoi Hela kwa wakala. Makato lazima yawe juu benki na wakala wapate faida
Rurakha Senior Member Joined Oct 20, 2019 Posts 122 Reaction score 225 Jan 10, 2024 #6 NMB ndio Benki inaongoza kuwa na makato makubwa kuliko zote hasa kama unatoa zaidi kwa mawakala nashauri tumia ATM kama unatoa pesa
NMB ndio Benki inaongoza kuwa na makato makubwa kuliko zote hasa kama unatoa zaidi kwa mawakala nashauri tumia ATM kama unatoa pesa
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 15,204 Reaction score 35,230 Jan 10, 2024 #7 Rurakha said: NMB ndio Benki inaongoza kuwa na makato makubwa kuliko zote hasa kama unatoa zaidi kwa mawakala nashauri tumia ATM kama unatoa pesa Click to expand... Kushinda crdb kuangalia salio tu 3k
Rurakha said: NMB ndio Benki inaongoza kuwa na makato makubwa kuliko zote hasa kama unatoa zaidi kwa mawakala nashauri tumia ATM kama unatoa pesa Click to expand... Kushinda crdb kuangalia salio tu 3k