Benki ya NMB mnapaswa kuwa serious kama wenzenu wa CRDB hasa katika kutoa huduma ya salarh advance kwa Wafanyakazi
- Mnadai kuwa walengwa(wafanyakazi) hawana vigezo vya kupewa huduma hiyo ilihali kiasi wanachoweza kuchukua kinaonekana wazi.
- Wateja walianza kuhamia kwa kasi CRFB kwaajilu yabkufuata fursa hiyo.
- Ninyi(NMB) endeleeni kudai vigezo havijakamilika. Nawasilisha kazi kwenu wahusika.