R reginahope Senior Member Joined Mar 26, 2013 Posts 163 Reaction score 30 Oct 21, 2013 #1 jaman nafasi walizotangaza nmb kanda ya kaskazin vp washaita?
M mwalemi Member Joined Feb 25, 2013 Posts 45 Reaction score 1 Oct 23, 2013 #2 unataman kuitwa benk officer mwenyewe kwan lzm ufanye kazi bank usumbufu tu
PSPA Pure'12 udsm JF-Expert Member Joined Jan 11, 2013 Posts 834 Reaction score 450 Oct 23, 2013 #3 Za kusini walizoanza kutangaza hawajaita hadi lei,huko kaskazini si wametangaza juzi tu???
O operamini Member Joined Sep 26, 2013 Posts 22 Reaction score 3 Oct 23, 2013 #4 pspa pure'12 udsm said: za kusini walizoanza kutangaza hawajaita hadi lei,huko kaskazini si wametangaza juzi tu??? Click to expand... ndugu yangu kusini yasemekana ni watu 4 na si 30 kama walivyotangaza. Umesikia kitu kama hiki?
pspa pure'12 udsm said: za kusini walizoanza kutangaza hawajaita hadi lei,huko kaskazini si wametangaza juzi tu??? Click to expand... ndugu yangu kusini yasemekana ni watu 4 na si 30 kama walivyotangaza. Umesikia kitu kama hiki?