M makwinyajerome Member Joined Oct 21, 2014 Posts 10 Reaction score 1 Dec 2, 2014 #1 Ni wiki sasa NMB iringa mjini wanatusumbua wateja hawaweki hela ATM zote,mpk uingie ndani meneja haeleweki yaan usiombee uwe hauna hela cash alaf unategemea utoe hela hapa,utalia siku tatu no services wala jibu la maana
Ni wiki sasa NMB iringa mjini wanatusumbua wateja hawaweki hela ATM zote,mpk uingie ndani meneja haeleweki yaan usiombee uwe hauna hela cash alaf unategemea utoe hela hapa,utalia siku tatu no services wala jibu la maana
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,257 Dec 2, 2014 #2 Na hapo ndo umefunga safari Dabaga ili uchukue hela unakuta hakuna na huna ht nauli ya kurudia nyumbani, sioni umhimu wa kufungua account NMB
Na hapo ndo umefunga safari Dabaga ili uchukue hela unakuta hakuna na huna ht nauli ya kurudia nyumbani, sioni umhimu wa kufungua account NMB