NMB Chap Chap Account

Vesper-valens

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
5,273
7,363
Habari za muda na wakati huu wapendwa

Nimewahi kusikia kuwa hii aina ya Bank account (Nmb chap chap Account) huwa haina makato kabisa labda wakati wa Ku withdraw tu Lakini naskia ukiwa unafanya saving kupitia hii account. Haitakiwi kuzidi 5m. Ikizid hapo wanaifanya hii account kuwa kama account zingine ...na wanaanza kufanya makato ya mwisho wa mwezi

Je, kuna ukweli wowote ktk hili?
 
  • Thanks
Reactions: _ly
Ninayo account ya chap chap,wanakata tena vizuri sana! Weka 20,000 yako,kaa mwezi mzima kachungulie balance uone kama ni 20,000 bado imo! Kumbuka account hiyo ina MasterCard,sasa gharama za MasterCard nani analipia?? Ukitoa pesa kwenye atm,wanakata, pia kuna vat wanakata!
Mkuu hii Account Ina Access ya Kununua Bidhaa nje ya Nchi? Au kulipia Huduma yoyote Nje ya Nchi ikiwemo Kutuma na Kupokea Pesa?
 
Back
Top Bottom