NMB acheni uzembe, mnachefua sana

Ilo jina utakua unausiana nalo
 
Hakuna njia nyingine ya kupokea confirmation code tofauti na sms? Iwe email mfano.
 
Walikuwa hacked, maana hizo text karibu kwa kila mteja wao.
 
...Samahanini ndugu zangu nimebalishwa Nina.
Kwa mujibu was benki yetu pendwa NMB toka Jana jiono Mimi ninaitwa MODESTA...!![emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Hii simu ni itel ila wana JF kwa kujikweza tu sasa screen shots nyingi zinaonesha watu wengi wanatumia itel,Infnix na Tecno
Hapana sio itel, Ila Ni moja Kati ya michina lkn so miongoni ulizotaja hapo...wewe unaejishusha unatumia sim Gani mzee?
 
mie nmeitwa Yunus maana kwa kushtuka ikabidi niwapigie mpka na simu na fasta nkcheki salio langu maana roho ilinipasuka kama bomu nkajua wazee wa hacking washakomba vicent vyngu

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…