Nkurunziza’s desperate gamble

Nkurunziza’s desperate gamble

Mkuu mchambawima1 heshima mbele kamanda..Mkuu wewe ni mnyarwanda na umekuwa mstari wa mbele kutetea kagame aongezewe muda wa kutawala kinyume na katiba ya nchi yenu.lakini uko against na Nkurunziza kuongezewa muda wa kutawala japokuwa sheria za nchi yake zinamruhusu..wewe kama mnyarwanda mambo ya burundi yanakuhusu nini?umekuwa mstari wa mbele kumdhalilisha raisi wetu Mh Kikwete na watanzania kwa ujumla..leo umekuja na suala la mlinzi wa raisi Nkurunziza.kwamba ni intarahamwe(mhutu) na blahblah nyingi..hivi vita vyenu ni dhidi ya wahutu popote pale walipo?kwamba nia yenu ni kuwamaliza wahutu wote walioko kwenye madaraka east and central africa?ukabila wenu utawagharimu sana ndugu yangu mchambawima?naomba hivyo vita vyenu viishie huko huko,msituletee shida nchi za jirani..nyie mnapokaa na kujitanua kumbukeni kwamba sisi watanzania ndio tunaopata shida ya kuletewa wakimbizi..kumbukeni kwamba Kikwete amewastahi sana ila raisi anayekuja hatakubali kuendelea kuwaentertain..Nyie wote ni ndugu moja chuki ya nini."mimi na wewe ni kitu kimoja,haina maana,haina maana kulumbana"(twanga pepeta)...be blessed!

Mkuu, huyo mzee wa sumu ni mchambawima1 mpu.mba.vu sana. Tunamjua humu, Utasikia jibu lake atasema wewe ni interahamwe uliyekimbilia Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
duh! kazi ipo kweli kweli... ndugu yangu pamoja na jitihada za kuandika kote huko, inanisikitisha kukuambia ya kwamba umeandika utumbo yani mpaka basi... umeonyesha kutomuelewa kabisa muandishi wa hii habari na kutoelewa tofauti ya Rwanda na Burundi! sheria za nchi huwekwa na wananchi wewe! kwa hiyo warundi wamkubali Nkurunziza kwa sababu jirani yao Rwanda wanalilia kuendelea kuongozwa na Kagame? what a joke! nakushauri uanze upya kusoma hiyo post labda unaweza ukazinduka kutoka kwenye ndoto zako za ukabila, wakimbizi mnaopokea au ukorofi wa Raisi ajaye... wewe ndio mchonganishi zaidi kwani sioni sababu inayokufanya umchomeke mheshimiwa mtukufu Raisi Kikwete ambaye hata yeye mwenyewe siku za karibuni aligundua ya kwamba kina jMali (FDLR) sio watu na ni maadui wa maendeleo ambayo yameshafikiwa ndani EA, ni watu wasio na sera za maana zaidi ya kuwaza ukabila kama wewe, hizo tano unazopewa na vinyamkela vyenzako visivyo juwa kusoma habari na kuona kama unapaswa kupewa pongezi kwa uliyoyaandika hata visikupumbaze na kukufanya ubakie na ujinga wa kutojuwa kusoma habari na kuielewa...

Mzee wa sumu, yaani wewe unaogopa kivuli chako.
Inaonekana Kagame naye ana tabia kama zako. au labda ni yeye au ndugu yako.
Subiri mzee wa kazi aingie alafu mjaribu kuleta umbea umbea wenu kama jina lako lilivyo uone kitu mtakachofanywa.
Sisi ile kumtukana Mzee kikwete wabongo wengi wana maindi. Na mtaona.
Akili kama za panya....
 
haya, maoni yako yamefika salama! kina jMali (Interahamwe) ni wengi na wanapata misaada ya hali na mali kutoka kwa wapenda damu wenzao, juzi wameingia Burundi kumsaidia Nkurunziza kuuwa wananchi wake kupitia mpakani mwa DRC na Burundi, inasemekana baada ya kuona tumewashtukia wao na washirika wao wamebadilisha strategy na kuanza kupitia Kigoma... wakisaidiwa na viongozi wa mjini kigoma, FDLR pamoja na Imbonerakure wameingizwa kambini na baadae kujifanya warundi wanaotaka kurudi makwao kusudi wakaharibu vizuri wakisaidiwa na experts Interahamwe Cc: jMali
jMali, hizi post za huyu jamaa ni kama kagame mwenyewe. Nawasiwasi ni yeye. Kwani wanaomjua wanasema huwa anaogopa kivuli chake..........LOL
Kuonyesha intelligensia yetu iko fit, tumemrudisha nkuruzinza, na wewe tunakutengenezea zengwe si unajifanya unajua mishe misha zaidi yetu wabongo tuliokulea sisi wenyewe??? subiri sasa.
 
Inawezekana, maana yule akili zake na hawa jamaa sawa sawa. Kwa usalama wa nchi za maziwa makuu Nkurunzinza inabidi awe rais tu.
 
Huyo mchambawima ni Kagame mwenyewe!

Tanzania military intelligence ndiyo imemfanya Nkurunziza kuwa raisi baada coup.

Kagame najua kinamuuma sana, ameze wembe basi.
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana, maana yule akili zake na hawa jamaa sawa sawa. Kwa usalama wa nchi za maziwa makuu Nkurunzinza inabidi awe rais tu.

Nkurunziza atakuwa rais mpaka atakapochoka mwenyewe. CNDD-FDD wamepata wabunge wa kutosha kupitisha miswada mbalimbali pasipo kutegemea tena wabunge wa upinzani.

Bunge la kwanza baada ya uchaguzi itabidi watengue kifungu cha kuondoa ukomo wa rais kama walivyofanya akina PaKa.

Kila aliye kinyume na plan ya tutsi-hima empire establishment ni LAZIMA amuunge mkono rais Pierre Nkurunziza! Mie naanza rasmi from today.
 
Inawezekana, maana yule akili zake na hawa jamaa sawa sawa. Kwa usalama wa nchi za maziwa makuu Nkurunzinza inabidi awe rais tu.
afadhali hivi wafuasi wako wameshajuwa msimamo wenu! umezuga sana lakini Nkurunziza damdam! kwa hiyo Interamwe dream team ilikuwa iwe Nkurunziza, Membe na Kabila? kweli kiboko yenu Kagame bado tunamuhitaji awashikishe adabu...
 
Nkurunziza atakuwa rais mpaka atakapochoka mwenyewe. CNDD-FDD wamepata wabunge wa kutosha kupitisha miswada mbalimbali pasipo kutegemea tena wabunge wa upinzani.

Bunge la kwanza baada ya uchaguzi itabidi watengue kifungu cha kuondoa ukomo wa rais kama walivyofanya akina PaKa.

Kila aliye kinyume na plan ya tutsi-hima empire establishment ni LAZIMA amuunge mkono rais Pierre Nkurunziza! Mie naanza rasmi from today.
umechlewa sana! wakati jMali anatafuta wafuasi ulikuwa wapi?
 
BekaNurdin

Kagame hana uwezo wa kutaka kumuua raisi wa Tanzania hata kwa mawazo yake mwenyewe. Nathani hapo umeongeza chumvi kidogo.

Tanzania sio Congo wala nchi yeyote east africa.Unatagemea angefanya hvyo halfu yeye abaki salama n familia yake?

Sio Tanzania niijuayo . Tusieneze chuki wakuu.
 
Last edited by a moderator:
kama unategemea kupewa kazi huku Rwanda eti kwa sababu wewe ni Mhutu/Mtutsi basi utafia huko huko, na kama freedom of speech yako ndivyo hivi ilivyo basi wewe utakufa na kinyongo kwani hiyo nafasi ya kukuacha utapikie watu kamwe hautaipata Rwanda... those days are over!

Hebu waeleze great thinkers wa jf, what is that kind of coincidence? May be the abnormal one!

What kind of selection criterion is that, <15% of population to occupy more than 80% positions in gvt system?

Kwa waliosoma 'statistical and quantitative analysis' hawawezi kueleza random sampling kama inaweza provide result ya namna hiyo!

Ni upendeleo tu uliotumika! Tena hiyo >80% ya tutsis ndani ya gvt system (nafasi za juu) ni wale waliokuwa ukimbizini nchini Uganda tena kutoka katika ukoo wa akina PaKa!
 
kwa hiyo kimya choooote, ulikuwa unafanya research? we lazima utakuwa na undugu na jMali(Interahamwe) hebu tuisaidie jinsi ulivyofikia conlusion ya hizo statistics zako za kikabila... uliwaangalia usoni wafanyakazi wa serikali ya Rwanda au uliwaomba ID? kama ni kweli basi mi naona watutsi waachiwe tu na kuitawala Rwanda milele, watu dunia nzima wanastaajabu na kuja huku kujifunza mambo tuliyofanikisha ndani ya miaka 21, tokea mchukue nchi kutoka kwa mkoloni mpaka 94 kazi yenu ilikuwa ni kuuwa watutsi tu? hata Mfalme Mtutsi ambaye kwa mujibu wenu hamtaki waishi kwenye hii dunia ya leo aliwalinda msiuzwe kwenye soko la watumwa... statistics zako za kizushi zitawafanya muendelee kuuwa badala ya kusaidizana na ndugu zenu kujengas nchi... naomba Mungu kila siku awasaidie mfunguke macho, democracy sio kuangalia ukubwa wa pua kabla ya kuchagua hata habyarimana alikuwa na lipua likubwa je alitufikisha wapi? Kambanda na Sindikubwabo ndio husiseme kabisa... mpendeni Kagame nyie awatoe ukimbizini, ndugu zenu waliofanikiwa kurudi washa utokamo hivi nyie endelezeni tu domo mtakuja kushtukia tushapiga ukuta mrefu: Cc Nyumba Kubwa
 
Yambo nkurunzinza-je unataka kurudi enzi ziile za UBURETWA na mambo ya KALINGA kama sio komaa usithubutu kutoka madarakani mpaka umpate wa kumrithisha-wenzio wa Rwanda taratiiibu wanarudi huko
 
Yambo nkurunzinza-je unataka kurudi enzi ziile za UBURETWA na mambo ya KALINGA kama sio komaa usithubutu kutoka madarakani mpaka umpate wa kumrithisha-wenzio wa Rwanda taratiiibu wanarudi huko
Uburetwa? gute se? nyie endeleeni kumpagawisha Nkurunziza... kwa hiyo Hutu-power is the only way to go? ipo siku mtajifunza utu na kumchagua mtu kutokana na uchapaji kazi wake na sio kwa jinsi anavyofanana
 
Nkurunziza atakuwa rais mpaka atakapochoka mwenyewe. CNDD-FDD wamepata wabunge wa kutosha kupitisha miswada mbalimbali pasipo kutegemea tena wabunge wa upinzani.

Bunge la kwanza baada ya uchaguzi itabidi watengue kifungu cha kuondoa ukomo wa rais kama walivyofanya akina PaKa.

Kila aliye kinyume na plan ya tutsi-hima empire establishment ni LAZIMA amuunge mkono rais Pierre Nkurunziza! Mie naanza rasmi from today.

Acha comedy na unaonekana ni fan wa mambo ya hutu power and believer of Hima empire conspiracy garbage,hayo mambo walijaribu kina Jmali na uncle zake kule Rwanda now waulize kama ilikuwa ni wise choice then rudi hapa. mbuzi wewe.
 
This people are not serious we live in an era were peace and unity is needed while these countries still have ethnic problems..till today it shows how they have forgotten that they are humans before anything else live in peace bana..it does not matter which tribe you are a good example is Tanzania we have more than 20 tribes till date no wars or any insecurities between localities times have changed you guys can't change its sad.
 
Uburetwa? gute se? nyie endeleeni kumpagawisha Nkurunziza... kwa hiyo Hutu-power is the only way to go? ipo siku mtajifunza utu na kumchagua mtu kutokana na uchapaji kazi wake na sio kwa jinsi anavyofanana
Historia yenu imekaa vibaya sana juu ya bin adamu,ni vizur japo kila siku ukatenga saa moja kumsihi Mungu kuepusha laana za babu zenu Hili la KALINGA na UBURETWA sio kabisa-Shame on your ancestors!
 
Do you know who abolished it? (Uburetwa)

Historia yenu imekaa vibaya sana juu ya bin adamu,ni vizur japo kila siku ukatenga saa moja kumsihi Mungu kuepusha laana za babu zenu Hili la KALINGA na UBURETWA sio kabisa-Shame on your ancestors![/QUOD
 
Akitawala mtusi na kuondoa ukomo wa madaraka kama Rwanda, Uganda na Kongo anatukuzwa eti ni ni uongozi wa mfano, akitawala mhutu kama Burundi akiongeza muhula mmoja tu kosa, Nkurunzinza hakuna kutoka.
 
Back
Top Bottom