Nkurunziza’s desperate gamble

Nkurunziza’s desperate gamble

kwa hiyo kimya choooote, ulikuwa unafanya research? we lazima utakuwa na undugu na jMali(Interahamwe) hebu tuisaidie jinsi ulivyofikia conlusion ya hizo statistics zako za kikabila... uliwaangalia usoni wafanyakazi wa serikali ya Rwanda au uliwaomba ID? kama ni kweli basi mi naona watutsi waachiwe tu na kuitawala Rwanda milele, watu dunia nzima wanastaajabu na kuja huku kujifunza mambo tuliyofanikisha ndani ya miaka 21, tokea mchukue nchi kutoka kwa mkoloni mpaka 94 kazi yenu ilikuwa ni kuuwa watutsi tu? hata Mfalme Mtutsi ambaye kwa mujibu wenu hamtaki waishi kwenye hii dunia ya leo aliwalinda msiuzwe kwenye soko la watumwa... statistics zako za kizushi zitawafanya muendelee kuuwa badala ya kusaidizana na ndugu zenu kujengas nchi... naomba Mungu kila siku awasaidie mfunguke macho, democracy sio kuangalia ukubwa wa pua kabla ya kuchagua hata habyarimana alikuwa na lipua likubwa je alitufikisha wapi? Kambanda na Sindikubwabo ndio husiseme kabisa... mpendeni Kagame nyie awatoe ukimbizini, ndugu zenu waliofanikiwa kurudi washa utokamo hivi nyie endelezeni tu domo mtakuja kushtukia tushapiga ukuta mrefu: Cc Nyumba Kubwa

Leo naona umeamua kuweka chuki zako dhidi ya Wahutu wazi. Rwanda bado sana.

Cousin yangu alikuwa na rafiki mwenye asili ya Rwanda (Mtutsi), akamshauri awajengee nyumba Wazazi wake Rwanda. Huyo rafiki yake akamjibu kwamba "usione Rwanda kupo shwari, kuna moto chini kwa chini". Na kweli aliwajengea nyumba hapa Tanzania

Cousin yangu alishangaa kwa sababu hakuwa anazijua vizuri " Siasa" za Rwanda.
 
Akitawala mtusi na kuondoa ukomo wa madaraka kama Rwanda, Uganda na Kongo anatukuzwa eti ni ni uongozi wa mfano, akitawala mhutu kama Burundi akiongeza muhula mmoja tu kosa, Nkurunzinza hakuna kutoka.
Akitoka nitamshangaa sana kwa kweli
 
Back
Top Bottom