Chris Mungoreme
Member
- Aug 10, 2011
- 72
- 14
Pamoja na hayo senki yuu sana!Mbona unagonga kwa nguvu sana?
Halafu unatumia bunduki kupasua mlango...huh!..
Angalia kuna mtoto sebuleni usije ukamuumiza!
Awe huru ila asivuke mipaka na kuvunja taratibu na kanuni za JF watamchapa BANkaribu ingia hadi ndani pia jisikie huru.