Natamani kufahamu bei ya njugu mawe kwa soko la dar km kuna yeyote yeyote anafaham naomba anijuze
Poa tu. Uko poa? Kama unazilima naomba unipe swadaka hata kilo mbili za kula mie na familia yangu. .
Hakuna shida ndugu. Kuna mdau kasema soko elfu 3. .Nahitaji kufahamishwa masoko ya njugu na sio kutoa sadaka
Sehem gani???Kilo sh. Elfu tatu dar