John yupi huyo...yule Injia wa hostel mbovu za UD ama?John alikutana na Irene wakaanzisha mahusiano, Lakn Irene alikuwa single mother. John alikuwa na nia ya dhati kwa Irene na alitaka kuoa Kwanu alimpeleka kwao akamtambulisha. Mahusiano yao yalidumu miezi sita baada ya kupishana lugha, Irene akawa mkali na kumtukana John kila aina ya tusi, John alijishusha na kutafuta suluhu kwa kila hali na kupitia watu mbali mbali, Irene aligoma kabisaaa.
Ikapita miaka 3 hv.. Irene akamtafuta John. Anaomba msamaha kwa kila hali na kujutia dhambi aliyoifanya. Amerudi kwa sasa amefall in love kuliko kawaida. Tatizo linakuja kuwa walipoachana Irene alibeba ujauzito mwingine na akajifungua mtoto mwingine.
John amefall kwa Irene wanampango wa kufunga ndoa ila wazazi wamegoma kabisaa na wamesema watamwachia laana kijana wao (john) iwapo atamwoa Irene....
Je ukikumbana na situation hii utashauri nini!?
Majina sio halisi ..
Huenda hadithi yako ikawa kweli au fix ka fix nyinginezo ila ina funzo. Nadhani Irene hana penzi lolote kwaa John bali anamfanya kishikizo tu. Kikikatika ataweka kingine.
Mfano mzuri ni huo. Kugombana ili waachane, na kabla ya, akachukua mwingine. Najiuliza, Alimwambia nini huyo mwingine?? Kumbuka kuwa hata mtoto wa kwanza hakuwa wa John wala wa pili sio wa yule wa kwanza. Huyo ni kunguru, hafugiki.
Ushauri:
Naungana 100% na wazazi wa John. Asimuoe wala kuendeleza mahusiano lisije tokea la kutokea akakuta na yeye amemzalisha Irene.
Nchi imejaa wanawake, kama raha anaiona kwa single mom mwambie wamejaa ka pishi la mchele. hawatafutwi. Ka ni wasichana ambao ndo wanamaliza form IV ndo wengi. Achukue naye chuma kipya. Akiendelea kusikiliza kilio cha huyu mdada atamuua kwa bp.
John yupi huyo...yule Injia wa hostel mbovu za UD ama?
Get you Thankx alotJohn anampendwa irene lakini mpendwaji ndo hayupo. Irene maisha yamempiga na ameona arudi kwa john apumzike na kutafuta akili mpya wapi uelekeo. Hiko ni kituo tu cha kupumzikia lakini safari bado inaendelea. Kifupi hafai kuwa mke wala mchepuko lakini kwakuwa mapenzi ni upofu tuwaache wawili.