Njooni tumshauri John

Njooni tumshauri John

prince22

Senior Member
Joined
May 8, 2015
Posts
188
Reaction score
217
John alikutana na Irene wakaanzisha mahusiano, Lakn Irene alikuwa single mother. John alikuwa na nia ya dhati kwa Irene na alitaka kuoa Kwanu alimpeleka kwao akamtambulisha. Mahusiano yao yalidumu miezi sita baada ya kupishana lugha, Irene akawa mkali na kumtukana John kila aina ya tusi, John alijishusha na kutafuta suluhu kwa kila hali na kupitia watu mbali mbali, Irene aligoma kabisaaa.

Ikapita miaka 3 hv.. Irene akamtafuta John. Anaomba msamaha kwa kila hali na kujutia dhambi aliyoifanya. Amerudi kwa sasa amefall in love kuliko kawaida. Tatizo linakuja kuwa walipoachana Irene alibeba ujauzito mwingine na akajifungua mtoto mwingine.

John amefall kwa Irene wanampango wa kufunga ndoa ila wazazi wamegoma kabisaa na wamesema watamwachia laana kijana wao (john) iwapo atamwoa Irene....

Je ukikumbana na situation hii utashauri nini!?

Majina sio halisi ..
 
Huyo jamaa atakuwa lofa endapo atarudiana na huyo mwanamke. Ajifunzi tu kwa hayo aliyo pitia.
 
Huwa kichwa cha chini hakiwezi kufikiria vizuri kikikutana na hali kama ii, utakuta john anamwoa irene kiroo safi
 
Mh!John ana moyo wa ujasiri.
Kwani kipindi kile alikuwaje na leo kabadilika nini hadi afall in love.
Hapo bidada keshaona sio rahisi kupata wa kumwoa ameamua kumuangushia zigo John,John naye kaona kaokota dodo kwenye mnazi.
Mwambie John ajifikirie tena na tena aache uzwazwa.
Ila akiona bidada anamfaa aoe tu.
 
John alikutana na Irene wakaanzisha mahusiano, Lakn Irene alikuwa single mother. John alikuwa na nia ya dhati kwa Irene na alitaka kuoa Kwanu alimpeleka kwao akamtambulisha. Mahusiano yao yalidumu miezi sita baada ya kupishana lugha, Irene akawa mkali na kumtukana John kila aina ya tusi, John alijishusha na kutafuta suluhu kwa kila hali na kupitia watu mbali mbali, Irene aligoma kabisaaa.

Ikapita miaka 3 hv.. Irene akamtafuta John. Anaomba msamaha kwa kila hali na kujutia dhambi aliyoifanya. Amerudi kwa sasa amefall in love kuliko kawaida. Tatizo linakuja kuwa walipoachana Irene alibeba ujauzito mwingine na akajifungua mtoto mwingine.

John amefall kwa Irene wanampango wa kufunga ndoa ila wazazi wamegoma kabisaa na wamesema watamwachia laana kijana wao (john) iwapo atamwoa Irene....

Je ukikumbana na situation hii utashauri nini!?

Majina sio halisi ..
John yupi huyo...yule Injia wa hostel mbovu za UD ama?
 
Huenda hadithi yako ikawa kweli au fix ka fix nyinginezo ila ina funzo. Nadhani Irene hana penzi lolote kwaa John bali anamfanya kishikizo tu. Kikikatika ataweka kingine.
Mfano mzuri ni huo. Kugombana ili waachane, na kabla ya, akachukua mwingine. Najiuliza, Alimwambia nini huyo mwingine?? Kumbuka kuwa hata mtoto wa kwanza hakuwa wa John wala wa pili sio wa yule wa kwanza. Huyo ni kunguru, hafugiki.
Ushauri:
Naungana 100% na wazazi wa John. Asimuoe wala kuendeleza mahusiano lisije tokea la kutokea akakuta na yeye amemzalisha Irene.
Nchi imejaa wanawake, kama raha anaiona kwa single mom mwambie wamejaa ka pishi la mchele. hawatafutwi. Ka ni wasichana ambao ndo wanamaliza form IV ndo wengi. Achukue naye chuma kipya. Akiendelea kusikiliza kilio cha huyu mdada atamuua kwa bp.
 
Sio fix ni ukweli, ushauri wako umefika, mapenzi huwa ni complicated saana!!!

john anaonekana ni mshamba wa mapenzi... hapo amependa kugegedana tu hakuna jipya ila akiingia kwenye ndoa ataona kumbe ndoa ni zaidi ya kugegedana... atajuta sana!
 
Tabia ni ngozi mtu anekupenda awez kukutusi kila aina ya tusi afu aje aombe msamaha ndo maana tunashauliwa kuchunga ndimi zetu hasa wakat wa hasira
Sasa ww utukanwe matus ya nguon na mpenz afu aje akuombe msamaha et aliteleza nyoo kama n mtoto ntakua napeleka tumiz full stop muda mwngne tuache kzngshia tamaa za mwl et ndo upendo
Afu wanaume mjue kujcmamia cyo unadanganywa kidogo tu na ww umo machoz ya mwanamke ata alie kikombe wengne ni waongo tuuuy!
 
John anampendwa irene lakini mpendwaji ndo hayupo. Irene maisha yamempiga na ameona arudi kwa john apumzike na kutafuta akili mpya wapi uelekeo. Hiko ni kituo tu cha kupumzikia lakini safari bado inaendelea. Kifupi hafai kuwa mke wala mchepuko lakini kwakuwa mapenzi ni upofu tuwaache wawili.
 
Get you Thankx alot
 
Back
Top Bottom