Njooni tujipime kama kweli tunao upendo

Njooni tujipime kama kweli tunao upendo

Nakumbuka nilienda hospitali fulani. Nilikuwa nna hofu juu ya ugonjwa hivi na ilikuwa kwa uchunguzi zaidi. Bahati nzuri nilikuwa sawa lakini daktari yule(alikuwa mama mtu mzima)aligundua nilikuwa na uhitaji wa kitu fulani hivyo alinisaidia tena kwa gharama yake mwenyewe. Nampenda sana na namuombea azidi kuwa na moyo huo huo kwa wengine. Ni upendo wa ajabu siwezi kuusahau na naamini ni kutokana na upendo na kujitoa kwangu kwa wengine kulikonisaidia.
 
Heheheyeah naona mambo ya Asprin hayo,wazungu Wanasema zile can't wait ni hapo december lol!
Natarajia kufanyiwa mungu akijali disemba kama kitakua kama kilivyopangwa ntakisema siwex sema now mapema mno
 
Last edited by a moderator:
Daima upendo una sura mbili, japo wengi wanaijua moja wakati wa raha,faraja,kujirusha na zawadi kedekede wanaridhika na upendo huo, ila upendo unakipimo chake wakati wa shida waraha na wakati wa magonjwa wakati ambapo watu huona tabia kasoro na mapungufu yako hapo ndipo upendo hupimwa, yule anaeweza kusimama na wewe wakati wengine kawaida wangekukimbia tena awezae kukufichia aibu wakati wengine wangekutangaza yule ambae hapendi kuona unaharibikiwa hata mkikosana hapendi kuona unateseka.

Watu duniani wanahangaika kupenda vinavyopendeza, wanasahau kupenda vinavyopendeza hakuna thamani isipokuwa kupenda hisivyopendeka.
Jipime kama kweli wewe unao upendo, ulifanyaje ndugu yako, mpenzi wako, jirani yako alipokukosea ulimsengenya, ulimpenda, ulimpaka matope au ulimsamehe bure?

Upendo umekuwa kama kitendawili ndani ya familia na jamii yetu kiujumla, watu wanawapenda ndugu, wapenzi na jamaa zao kwasababu wana mali, umaarufu,elimu, pesa, magari na majumba ya kifahari je kwako ndiyo tafsiri ya upendo hiyo? kama unampenda kwaajili ya mali unafanya ziada gani.

Ni yupi alie mwenye upendo ikiwa tunapendwa kutokana kitu tulichonacho? upendo kwako ni nini?
Uliwahi kufanya/kufanyiwa nini ambacho hautakisahau kama ishara ya upendo kwako?

Jipime kama kweli una upendo usiishie kusema unaupendo wakati upendo wako ni wamaneno siyo vitendo
.
:A S check_03:

wewe acha kuiba verse ya mwimbaji Ambwene Mwasongwe
 
Tata upendo wa kweli umekua adimu, watu tuna fake upendo hatuko real, l believe upendo wa kweli anao mamangu tu kwa kunikeep 9 month kwenye tumbo lake na kunilea mpaka hivi sasa naitwa baba nani, even myself najua nina vimelea vya upendo toka kwa my mon coz naipenda familia yangu especially wanangu, but 99% ya watu wanashow love ambayo inawalakini, l believe that.

hapo umenena mkuu nakubaliana nawe
 
Daima upendo una sura mbili, japo wengi wanaijua moja wakati wa raha,faraja,kujirusha na zawadi kedekede wanaridhika na upendo huo, ila upendo unakipimo chake wakati wa shida waraha na wakati wa magonjwa wakati ambapo watu huona tabia kasoro na mapungufu yako hapo ndipo upendo hupimwa, yule anaeweza kusimama na wewe wakati wengine kawaida wangekukimbia tena awezae kukufichia aibu wakati wengine wangekutangaza yule ambae hapendi kuona unaharibikiwa hata mkikosana hapendi kuona unateseka.

Watu duniani wanahangaika kupenda vinavyopendeza, wanasahau kupenda vinavyopendeza hakuna thamani isipokuwa kupenda hisivyopendeka.

Jipime kama kweli wewe unao upendo, ulifanyaje ndugu yako, mpenzi wako, jirani yako alipokukosea ulimsengenya, ulimpenda, ulimpaka matope au ulimsamehe bure?

Upendo umekuwa kama kitendawili ndani ya familia na jamii yetu kiujumla, watu wanawapenda ndugu, wapenzi na jamaa zao kwasababu wana mali, umaarufu,elimu, pesa, magari na majumba ya kifahari je kwako ndiyo tafsiri ya upendo hiyo? kama unampenda kwaajili ya mali unafanya ziada gani.

Ni yupi alie mwenye upendo ikiwa tunapendwa kutokana kitu tulichonacho? upendo kwako ni nini?

Uliwahi kufanya/kufanyiwa nini ambacho hautakisahau kama ishara ya upendo kwako?

Jipime kama kweli una upendo usiishie kusema unaupendo wakati upendo wako ni wamaneno siyo vitendo
.:A S check_03:

huu ni ujumbe makini sana. mpaka mimi nakubali ujue ni zaidi ya ujumbe bora.

ila ni wachache tu watauelewa maana yake.

thank you kwa ujumbe huu leo.
 
Mimi kusema Kweli nimefika hapa nilipo kwa Neema za mungu na mshukuru kwa hilo. Nimefanya vingi kwa watu ninaowajua na nisiowajua, na hii ni kwa sababu ya upendo mungu alionipa . Kusema Kweli sijisifii ila huu ndio ukweli na mungu ndio shahidi yangu .Watu wengi wanajiuliza kwa nini Niko hivi , ila sina la kujibu isipokuwa namshukuru, bwana wangu aliye hai ambaye ndiye aliyenileta duniani.
Trust me Upendo ni wito na huduma , bila ya kujua hii basi si rahisi kuwa na upendo . Kitu ambacho sitakisahau ingawaje viko vingi nilivyofanya ni kumpa MTU ambaye sikuwa namjua kiundani vibali vya kuishi ughaibuni bila kumchaji chochote . kwa wale mnaoishi ughaibuni mnajua jinsi watu wanavyoteseka huko kwa kuishi bila vibali. Nilimuona MTA Tz mwenzangu alivyokuwa akiteseka na roho yangu iliguswa sana nikamuomba nimsaidie lakini alikuwa na choice ya kukubali au kukataa. Mwanzoni alistuka sana tena sana . Nilimueleza hali halisi ya maisha ugenini , faida na athari zake . Nikamuambia achukue muda kufunga na maombi ili mungu aseme nae kabla hajaweka maamuzi. Jamaa alifanya hivyo final alikuja akaja na majibu. Tukaanza maandalizi ya vibali. Nimefurahi mungu alipobadilisha maisha ya yule kijana. Kwa sasa yuko shule na Nina imani iko siku atamaliza . Na kuna mengi sana ila hii imenigusa sana . Kwa mlio nje ya Tz Muwe na mioyo ya upendo huwezi juwa kuhusu kesho . Asante.
 
Stori yako imenigusa sana mkuu, ubalikiwe sana upendo ni wito kweli kama ulivyosema, binafsi huwa naumia nikiona mtu anateseka, amani ya bwana idumu kwako ipo siku utalipwa fadhila zako.
 
huu ni ujumbe makini sana. mpaka mimi nakubali ujue ni zaidi ya ujumbe bora.

ila ni wachache tu watauelewa maana yake.

thank you kwa ujumbe huu leo.

Asante mkuu kama umeguswa amani na upendo viwenguzo yako.
 
Stori yako imenigusa sana mkuu, ubalikiwe sana upendo ni wito kweli kama ulivyosema, binafsi huwa naumia nikiona mtu anateseka, amani ya bwana idumu kwako ipo siku utalipwa fadhila zako.

Amen sifa kwa mungu. Ways Tz walio ughaibuni wanateseka sana hawasemi tuu ukweli haswa kwenye maswala ya makaratasi, mungu awasaidie kwa kweli
.
 
Stori yako imenigusa sana mkuu, ubalikiwe sana upendo ni wito kweli kama ulivyosema, binafsi huwa naumia nikiona mtu anateseka, amani ya bwana idumu kwako ipo siku utalipwa fadhila zako.

Sifa kwa mungu"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom