Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,038
- 2,190
Ha ha ha we Mwehu kweliReal Madrid 2 - Manchester united 1
Et jmn mfano upo katika relation na umepata shida ya gafla inahitaji kama laki kazaa hv...katika akiba yako umepeleza laki 1....unamshirikisha mpenz/mchumba wako ambae unajua kabisa uwezo wa kukupa anao ila anakushauri uuze cm au uuze kitu cha ndani ili upate hiyo hela...kweli kuna mapenz hapo?
Kuna mengi tusiyoyajua kukupa jibu sahihi.Et jmn mfano upo katika relation na umepata shida ya gafla inahitaji kama laki kazaa hv...katika akiba yako umepeleza laki 1....unamshirikisha mpenz/mchumba wako ambae unajua kabisa uwezo wa kukupa anao ila anakushauri uuze cm au uuze kitu cha ndani ili upate hiyo hela...kweli kuna mapenz hapo?
Kuna mengi tusiyoyajua kukupa jibu sahihi.
Historia yenu juu ya kupeana zawadi ama fedha ikoje?
Sio Mimi mentor ni best angu wa karibu kabisa niwapenz na jamaa anakipato kizuri na bidada hua hana tabia ya kumuomba jamaa ndio kapata emergency ambayo kama wakioana ni faida kwao wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Et jmn mfano upo katika relation na umepata shida ya gafla inahitaji kama laki kazaa hv...katika akiba yako umepeleza laki 1....unamshirikisha mpenz/mchumba wako ambae unajua kabisa uwezo wa kukupa anao ila anakushauri uuze cm au uuze kitu cha ndani ili upate hiyo hela...kweli kuna mapenz hapo?
Hivi amesema alijuaje kama mpenzie ana hela?Hapo hakuna mpenzi ni manyoya tu. Jiongeze.
Mapenzi si pesa...Et jmn mfano upo katika relation na umepata shida ya gafla inahitaji kama laki kazaa hv...katika akiba yako umepeleza laki 1....unamshirikisha mpenz/mchumba wako ambae unajua kabisa uwezo wa kukupa anao ila anakushauri uuze cm au uuze kitu cha ndani ili upate hiyo hela...kweli kuna mapenz hapo?
HA HA ATUAMBIE HANA BABA WALA MAMA MPAKA SHIDA ZAKE APELEKE KWA MPENZIMapenzi si pesa...
Wanaume hawajawahi kuwa bank...
Ushauri aliokupa ni kuntu. Kama shida ya pesa ni kubwa kuliko kumiliki simu... uza simu hiyo tatua tatizo lako.
Shida nyingine muwe mnaomba msaada kwa wazazi wenu...ebo!
Umeona enh... pesa anapewa mke. Girlfriend akale kwa babaakeHA HA ATUAMBIE HANA BABA WALA MAMA MPAKA SHIDA ZAKE APELEKE KWA MPENZI
You Are Right Mkuu Mke Ndo Anapewa Hiyo Hela Ya kula Lakini Siyo Yeye GirlfriendUmeona enh... pesa anapewa mke. Girlfriend akale kwa babaake