Njooni tufahamiane wana MMU

Asili: Tz
Kabila : Any
Occupation : Sijui hata
Age : 30-40
Marital status : Polygamous

Mie naomba nikupe kazi kulingana na marital status yako in relation to your age ....je uko tayari...??
 
Occupation: Mkusanya ushuru

Asili: Mwanza na Moshi naishi Temeke

Kabila: 0.5.

Umri: between the age of 25 to 35

Marital status: Complicated.
 
Occupation : Muuza mahindi kariakoo

Asili: Udongo na tutarudi kwa udongo

Kabila: Shirazzy

Umri: 24 - 26

Marital stutas : Single via Double
 
Hahahaa kazi hiyo mbona wantisha.... Na hiyo kazi inapimwaje

Usiogope ni ya kawaida tu kwani naamini una uzoefu nayo wa miaka mingi , ikizingatia umekula chumvi nyingi.
Tunatumia kanuni ya kutafuta "work done".
soma kiambatanisho.
 

Attachments

  • formulae.gif
    2.9 KB · Views: 180
Last edited by a moderator:
Usiogope ni ya kawaida tu kwani naamini una uzoefu nayo wa miaka mingi , ikizingatia umekula chumvi nyingi.
Tunatumia kanuni ya kutafuta "work done".
soma kiambatanisho.

Eeeh...sawa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…