Sasa demu kivipi mkuu?
wakondya mkaruka. Hilo tu Usijali tutakutana pale mahande sokoni.... huu ni mwanzo tu si unajua we are like a moving encyclopedia mkuu?
Hiyo CV ni shida mjini
unanishangaza huoni ni vipi umesababisha watu waone unatafuta demu....status yako ilipaswa kuwa 'single' habari ya seriously searching ndio unaonyesha lengo lako kuwa unatafuta au una maana gani kusema 'seriously searching??
Ila hakukua na "like" hahaaa
umbea tu ndio umenileta yani kwa umri huu bado uko vizur kwa umbeya looo tisha sana
Ni shidaa mabibi wa uswahilin tuna mambo sie cc nyumba kubwa nimekumiss jamani nondo zako sizioniii
Mkaruka ....kutiki?
wasibhayo....? kama nilikuona bukongo kama sio mahande na nansio town.....
Simaanishi tufahamiane kwa majina yetu halisi au tubadilishane no za simu, la hasha!
Nimegundua kwamba humu Jamii Forums na MMU in particular kuna watu wa kada mbalimbali, so tukifahamiana kwenye Professions zetu, makabila yetu, maeneo tutakayo, umri, marital status n.k, wengi wetu tutakutana na watu wa makabila na kada zetu, age sio ishu sana.
Hivyo, itakua rahisi mtu akiwa na tatizo kwenye eneo fulani kwa mfano huduma za kibenki au ukandarasi, anafahamu aende kwa nani mwenye taaluma hiyo ili kupata ushauri, so mnakutana PM mnabonga, ikiwapendeza mnabadilishana na n namba za simu kabisaa.
Naanza mimi.
Occupation: Lawyer.
Asili: Msoma na Mwanza ingawa kwa sasa naishi Tanga na Dar es salaam.
Kabila: Mjita.
Umri: In between the age of 25 to 28 (Nipo katikati hapo-siri yangu).
Marital status: Single and Seriously Searching.
Haya karibuni wadau.
asili:tanga ndo home
occupation: mpka vitumbua
kabila: mdigo
Umri:btn 21 - 30
marital status: in a relationship
Accupation:muuza mayai.
Asili:karibu Tarime and be strong.
Umri:34........45.
Kabila:Mkurya.
Marital status:free agent.
Hahahahhh!!!
Hizi ni false accusations tu mkuu
Mm natafuta mke na niko serious coz nimeanza kuzeeka, kuna ubaya gani hapo?
status :in relationships
kabila:chagga
occupation:dancer
umri: 30-40
like:money
Occupation: Kibaka
Asili: Sijui
Kabila: Sijui
Umri: hakuna kibaka mzee
Marital status: sijui
Duuh mbona mambo ya marital status tena unataka kupeperusha njiwa wa watu humu,hapo mwishoni sijapapenda
Juzi nimekabwa huku bugarika, kumbe ni wewe eeeh??