utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Apr 21, 2014 #2 Hahahahaha hapo ndo anasoma taarifa ya habari au?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Apr 22, 2014 #3 bonge la ubunifu imekaa njema sana nimeipenda
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Apr 22, 2014 #4 Hahahaaaaaaaa utafikiri anachimba dawa kubwa...
MJINI CHAI JF-Expert Member Joined Dec 12, 2010 Posts 2,202 Reaction score 1,229 Apr 22, 2014 #5 Chini angeweka Kizuwio ili miguu isionekane hata wakubwa wangekuwepo..............
TECHMAN JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 2,649 Reaction score 1,128 Apr 22, 2014 #6 MJINI CHAI said: Chini angeweka Kizuwio ili miguu isionekane hata wakubwa wangekuwepo.............. Click to expand... pambafu, umenifanya nicheke mbele za watu kwa kishindo bila kujizua mpaka wakaniona chizi, Asante kwa kunianzishia kicheko cha kwanza kwa siku yaleo ya jumatatu ya siku ya pili ya wiki( kwa kuwa jana ilikuwa jumatatu ya mwisho wa wiki long weekend)
MJINI CHAI said: Chini angeweka Kizuwio ili miguu isionekane hata wakubwa wangekuwepo.............. Click to expand... pambafu, umenifanya nicheke mbele za watu kwa kishindo bila kujizua mpaka wakaniona chizi, Asante kwa kunianzishia kicheko cha kwanza kwa siku yaleo ya jumatatu ya siku ya pili ya wiki( kwa kuwa jana ilikuwa jumatatu ya mwisho wa wiki long weekend)
B bdo JF-Expert Member Joined Nov 20, 2006 Posts 5,810 Reaction score 2,431 Apr 22, 2014 #7 Na madogo wametulia kweli kweli, na imagine wakati wa kuangalia movie au tamthiliya itakuwaje?
maroon7 JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 11,345 Reaction score 15,852 Apr 22, 2014 #8 dogo yuko njema...
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Apr 22, 2014 #9 Huyu akiendelezwa anaweza kuja kuwa Charles Hillary au Salim Kikeke wa kizazi kijacho....
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Apr 22, 2014 #10 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016