Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Tatizo nyi vizazi vya kileo mnasahau Uwepo wa mungu.
Futa msg zoote mlikua mnachat iwe tsap,insta,FB au wapi
Punguza mazoea na watu wake wakaribu,Futa picha zake zoote uliompiga,aliokutumia,ulioitoa IG,FB futa kabsaaa yaani siku usimblock kwenye social media bali Unfollow kabsaa,,kama ni FB Unfriend yaani uanze upya haitakua kazi rahisi kumsahau ila itakusaidia kumpotezea japo karoho kanauma daah