Njooni mchukue zawadi zenu..........

kweli hapo sina kisingizio, asante dada :becky:. hapo red ndio maana snowhite anakaa kwenye beseni la maji ya moto.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahah anza jogging mapema...usijepata hard looking ya Natalia...
mamito asante sana mwali ila nimenenepaje sasa??
hadi sijipendi manake sasa nitaitwa bibi badala ya mama lol!
 
Last edited by a moderator:
we hutaki kuwa mwenyekiti wa UWT?? plus kugegedwa na wakubwa...hahahahah
khaa yaani kweli mmenibatiza jina la huyo mama?? jamani nitakeni radhi hivi kumbe sina akili ya maisha kama yeye??
 
Umetunyanyapaa mimi na my wife wangu marejesho! Mi staki!
 
Last edited by a moderator:
we hutaki kuwa mwenyekiti wa UWT?? plus kugegedwa na wakubwa...hahahahah

mmh! nikifikia pa kudoiwa na wakubwa kisa cheo basi ni bora nianze tu kuuza chai chapati njiiani lol!
 
inasaidiausisahau maji ya moto mixer with lemon....

umeona enh! ngoja kwanza niende kujog kisha ntarudi tena baadae. sasa naanza menu ya mkate moga mboga mwanzo mwisho lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…