Ni mwaka mwingine tena umepita tangu mimi na my lovely wife, kipenzi cha roho yangu, nyongo mkalia ini, Mrs marejeshoFilipo tulipoamua kujiunga hapa! Tumeendelea kuwa na maisha ya furaha, upendo umeongezeka si kati yetu tu bali na kwenu pia!
Katika kufurahia jambo hili, tunapenda kutoa shukrani zetu nyingi kwa wafuatao,
Na woooote ambao sijawataja hapa! Tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu na tunaamini tutaendelea kuwa pamoja na tutaendelea kuishi hapa bila kupigwa ban kama tulivyoishi kwa miaka yote hii!