Sisi Kigoma wing mnatusahau sana ati
Hahahaha...tatizo eti unakuwa busy sana kwenye ujasiriamali... NOTED mkuu.
Bila kumsahau 'Valentina'!
Pongezi mingi sana Filipo kwa kukumbuka suala nyeti kama hili.
Hakika tunahitaji kupongezana sana wote kwa kuuona huu mwaka ambao tuna malengo mengi sana nao!
Ila napenda kujua kama Tonykp yupo, maana anatafutwa sana na 'Valentina', na inasemekana amezima simu zote tokea mwaka jana!