Ukiitizama tu hii mashine tayari umeshakua ni mjinga na ukitaka kujua kama wewe ni mjinga weka elfu kumi halafu subiri jibu uone litatoka jibu ganii!!!!!!
Ingewekwa nje ya jengo la bunge, nina mashaka wabunge wengi wa CCM wangepoteza kumi kumi zao. Kwa namna ile walivyoiuza dhahabu ya nchi kwa mrabaha wa 3% kwa 97% sidhani kama watasita kuweka 10,000 humo.