Gpili
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 2,179
- 2,084
Wakuu nitangulishe shukrani kwa wote mntaokuja tembelea uzi wangu. Idadi ya viroba ni zaidi ya 300 vilikuwa ni vya gysum ya good one kwa mwenye mahitaji ya viroba anicheki bei 300 kila kimoja haitopungua nipo tanga mjini ni vya kilo 25 vikubwa vyeupe visafi Kabisa